Haya wakuu mie kitu kinachonishangaza ni mtindo wa My wife, tunapolala kitandani mie hulala mwanzo yeye hulala upande wa ukutani, kitanda ni 6 by 6 lkn huwa tunalala utadhani tupo wa tatu kitandani always anaacha nafasi kubwa sana upande wa pili, ananisogelea karibu sana lkn cha ajabu ukimkumbatia au kumpa ma touch touch ya hatari analalamika eti unamkosesha usingizi lkn mie huku karibu nadondoka kitandani, nikihamia upande aliouacha wazi dk kumi hazipiti lazima asogelee tena, huwezi amini style hii ni 7yrs sasa haibadiliki, nimegundua hawezi badilika basi namchukulia km alivyo au sometimes najifanya mtundu zaidi na ma touch bin cares kidogo atakimbia lkn within 10 minutes lzm tubanane tena!![/QUOTE]
la la la la la la la!
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!MAISHA YA NDOA BANA,LOL