NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

Haya wakuu mie kitu kinachonishangaza ni mtindo wa My wife, tunapolala kitandani mie hulala mwanzo yeye hulala upande wa ukutani, kitanda ni 6 by 6 lkn huwa tunalala utadhani tupo wa tatu kitandani always anaacha nafasi kubwa sana upande wa pili, ananisogelea karibu sana lkn cha ajabu ukimkumbatia au kumpa ma touch touch ya hatari analalamika eti unamkosesha usingizi lkn mie huku karibu nadondoka kitandani, nikihamia upande aliouacha wazi dk kumi hazipiti lazima asogelee tena, huwezi amini style hii ni 7yrs sasa haibadiliki, nimegundua hawezi badilika basi namchukulia km alivyo au sometimes najifanya mtundu zaidi na ma touch bin cares kidogo atakimbia lkn within 10 minutes lzm tubanane tena!![/QUOTE]

la la la la la la la!
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!MAISHA YA NDOA BANA,LOL
Can you postpone yours until the end of the ndoaz trouble Mpwa? Sipati picha Shemeji yangu akiona post yangu hii itakuwaje. Sorry shemeji, am not advicing Geoff to do that but..........
 
senki yu veri much shemeji,mwenzenu intaneti ipo veri sloo.Au nyie mmeunganishwa kwenye mkonga?
Ngoja nirudi kwenye mada,Mie kinachonishangaza kuhusu My Xpin ni vile Anamaindi'Banta',Yani utafikiri ana hisa kwenye kiwanda cha banta,anakunywaaaaa weeee mpaka basi.Nina mpango nimpeleke kwa Dk NDODI aombewe,labda ni mapepo.

hahaaaaa ongea na PakaJimmy abuku kabisa Ndodi yuko arusha, nyomi ile mbaya (sore off topic)
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?
 
Unataka kuniambia Kanisani hakuna MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI? Sasa yeye baba Paroko alitoka wapi? kama sio mapenzi hata yeye asingekuwepo.Kwa hiyo anahusika sana huku niliko.
Ziondaughter is smart and special
 
Unataka kuniambia Kanisani hakuna MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI? Sasa yeye baba Paroko alitoka wapi? kama sio mapenzi hata yeye asingekuwepo.Kwa hiyo anahusika sana huku niliko.

Yeah! Nilitoka hukohuko!
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?

Fidel80 leo unatapatapa kweli mpwa(tupo wengi hapo) haaaaa lol!!! mada mpya hiyo
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?
wasipate kutoroka kirahisi usiku, wanawake wajanjaaa , mara usiku anaamka anakwenda neksti doo, lakini akilazwa ukutani inakuwa ngumu kidogo kuondoka kitandani usiku wa manane kinyemela.
 
wasipate kutoroka kirahisi usiku, wanawake wajanjaaa , mara usiku anaamka anakwenda neksti doo, lakini akilazwa ukutani inakuwa ngumu kidogo kuondoka kitandani usiku wa manane kinyemela.

Kwani lazima kitanda kikae pembeni? Mi cha kwangu kiko katikati ya rumu.
 
Inasemakana wanawake wengi iwa wanalzimishwa kulala upande wa ukutani hii ni kwa nn?
Na wengine huwa wanaomba wenyewe kabisa sijui kwanini, may be kwasababu wako hapa basi watuambie sababu
 
Hahahaha! Hili linahitaji thread yake hili!

Ponjoro man ninae hapa mdau mkubwa wa Chawote kathibitisha hilo wababa wanapenda kulala pembeni tunasema kwenye moto alafu wa mama wanapenda ukutani.
 
Na wengine huwa wanaomba wenyewe kabisa sijui kwanini, may be kwasababu wako hapa basi watuambie sababu

I feel comfortable, safe and secured nikilala pembembeni/ukutani (it may sound creze bt ndo ukweli huo).

sasa kitanda kikiwa katikati ya rum kama cha shem basi hilo jambo lingine
 
Back
Top Bottom