Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

View attachment 3018017

Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g?

Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
Kwani kuna shido?
Kwanza we kabila gani?
 
Mi nafikiri ile kusema wasafi wamewabania kupanda stejini na harmonize kumchukua kumpeleka maskani kwake vimechangia pakubwa
Asante sikujua hili,aliongea maneno hayo wapi?
 
Hawa comedian wa bongo kiukweli wengi sijawahi chekeshwa nao kabisa. Kama huyu.. hivi unachekeshwa kabisa na bambo na kingwendu sijui...

Au nina stress sana labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…