Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

View attachment 3018017

Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g?

Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
Kwani kuna shido?
Kwanza we kabila gani?
 
Asante sikujua hili,aliongea maneno hayo wapi?
1718597085170.png

Fuatilia haya mahojiano.
 
Hawa comedian wa bongo kiukweli wengi sijawahi chekeshwa nao kabisa. Kama huyu.. hivi unachekeshwa kabisa na bambo na kingwendu sijui...

Au nina stress sana labda?
 
Back
Top Bottom