Ni kitu gani kilikufanya ukavutiwa na JF?

Unakutana na uzi mtu kaweka eti anauza sperm
 
Balance shobo mkuu
 
Humu kuna hadi uzi wa kupena like eti....teh
Uzi za kina Tiss, kina KGB, CIA, FBI nk. Siku hizi hatuzioni tena....
Jf kuna watu imewapoteza, na imepokea Kizazi cha kupeana likes...
Tujitafakari kama members tuirejeshe JF yetu ya kipindi cha 2015 kurudi nyuma.
 
Naona umempenda Mshanajr ila mko wengi sijui utaweza kuvumilia
 
Sasa huyo ndo nyoka kabisa wee jichangange uone..
Wee mtu anakesha na maiti ni mwenzako[emoji23][emoji23]
 
Me nimejiunga Jf kwasababu 1 tu Forex ya ontario 2017 japo kua nimeifaham toka 2012 nikiwa advance nilikuwa napenda siasa wadau walikuwa wanachambua mambo kwa upana sana
 
Me nimejiunga Jf kwasababu 1 tu Forex ya ontario 2017 japo kua nimeifaham toka 2012 nikiwa advance nilikuwa napenda siasa wadau walikuwa wanachambua mambo kwa upana sana
Chukua mikoba mkuu uendeleze uchambuzi....
 
Jf ni rafiki wabkudumu hana shobo.
Jf hunipunguzia stress, nikikosa usingizi, naingia navyotaka.

Ukiona mtu usiku wa manane yupo Jf wala usiulize ana matatizo gani.jibu unalo.

Kwa haya na mengine mm ni nani nisiisivutiwe na Jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…