Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
- Thread starter
- #41
[emoji4]Dah....nakumbuka ni mwaka 1973.....Dem wangu ndiyo alinipa link😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4]Dah....nakumbuka ni mwaka 1973.....Dem wangu ndiyo alinipa link😎
Kama ilivyoandikwa, Mungu atakupa wa kufanana nawewe.. Sie tushafanana..!! [emoji28]Hata mimi ilikuwa exactly hivi [emoji115][emoji115]
Sikuwahi kusikia JF popote tofauti na google,almost kila nilichogoogle nililetwa humu
Unakutana na uzi mtu kaweka eti anauza spermNilikuwa nasikiasikia story kwamba kuna mambo mazito ya siri mpaka za serikali na viongozi yanaongelewa huku mpaka watu wa usalama wa taifa wapo humu wanaongelea issue nzito nzito,nikajoin fasta ila siku hz naona jf imeishiwa,wanafunzi na vinyozi wa saluni wamejaa humu hamna cha maana tena
Balance shobo mkuuJF ni platform ya wazee, mi nliingia tu kusoma habari niliona Instagram page ya JF walipost. Kuingia huku wanaleta mambo ya ooh don't have an account?, nkaona isiwe kesi nikasign up tu, ila siifeel JF huku kila mtu ana hasira, chuki, majungu, ushamba na uzamani, mtu mwenye roho njema na hakwazi watu ni Mshanajr wengine wote chenga tu.
Humu kuna hadi uzi wa kupena like eti....tehUnakutana na uzi mtu kaweka eti anauza sperm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apunguze kidogoBalance shobo mkuu
Uzi za kina Tiss, kina KGB, CIA, FBI nk. Siku hizi hatuzioni tena....Humu kuna hadi uzi wa kupena like eti....teh
Naona umempenda Mshanajr ila mko wengi sijui utaweza kuvumiliaJF ni platform ya wazee, mi nliingia tu kusoma habari niliona Instagram page ya JF walipost. Kuingia huku wanaleta mambo ya ooh don't have an account?, nkaona isiwe kesi nikasign up tu, ila siifeel JF huku kila mtu ana hasira, chuki, majungu, ushamba na uzamani, mtu mwenye roho njema na hakwazi watu ni Mshanajr wengine wote chenga tu.
Mshana Jr, ana hisa JF? Ni mtu maarufu sana humu
JF ni platform ya wazee, mi nliingia tu kusoma habari niliona Instagram page ya JF walipost. Kuingia huku wanaleta mambo ya ooh don't have an account?, nkaona isiwe kesi nikasign up tu, ila siifeel JF huku kila mtu ana hasira, chuki, majungu, ushamba na uzamani, mtu mwenye roho njema na hakwazi watu ni Mshanajr wengine wote chenga tu.
Avatar yakoUzi wako
Balance shobo mkuu
Chukua mikoba mkuu uendeleze uchambuzi....Me nimejiunga Jf kwasababu 1 tu Forex ya ontario 2017 japo kua nimeifaham toka 2012 nikiwa advance nilikuwa napenda siasa wadau walikuwa wanachambua mambo kwa upana sana
Lakini bado tunaitumia jf, tushukuru ipo hai