Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣mbona sababu nyepesi Sana mkuu.Ila umenichekesha
 
Mwasibu hutaki mzaha kwenye maokoto
 
Kwanini hukumuambia una njaa? Au kwanini haukumpa hela akakuletee chakula hadi ukubali kulala na njaa?
 
Nikiisema yule mngese lazima atajijua tu kama yupo humu

Manake ni kitu cha pekee nimeona kwake tangu nianze game ya mapenzi

Wanaosema duniani hakuna jipya kwa yule mwanaume niliona jipya πŸ™Œ
 
Yule wa kwangu alikuwa hajui kumenya machungwa. Yani akimenya lazima ayachimbe chimbe kiasi kwamba huyali kwa raha. Kuna siku walikuja washkaji ghetto, baada ya msosi akatuandalia machungwa. Aisee aliyachimba balaa, nikajiuliza what if wangekuwa wageni wa heshima, si ataniaibisha huyu?

Nikapiga chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…