Nimevutiwa kufahamu sijui hata kwa nini🤔Nikiisema yule mngese lazima ataijijua tu kama yupo humu
Manake ni kitu cha pekee nimeona kwake tangu nianze game ya mapenzi
Wanaosema duniani hakuna jipya kwa yule mwanaume niliona jipya 🙌
Alianza kujamba hovyo usikuKwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.
Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.
Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.
Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu
Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.
From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.
Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Ukaja na vazi jipya hata kunipa hi umeshindwa?? Mi napingua ushosti na wewe.!! 😔😔😔😂😂 wizo nimetoka kwenye kifungo cha siku tatu... nilikonda 😂😂
Katika pitapita zangu za stories za breakups na migogoro ya mapenzi sjawahi kukutana na case kama ile wallah!🙌Nimevutiwa kufahamu sijui hata kwa nini🤔
Umeamua kupita na embe bichi na kuling'ata kwa makusudi mbele yangu.Katika pitapita zangu za stories za breakups na migogoro ya mapenzi sjawahi kukutana na case kama ile wallah!🙌
cheki ulivyo mnafkiMimi huyo? Hebu twambie ilikuwaje na yule jamaa?
Seen.Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.
Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.
Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.
Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu
Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.
From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.
Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Vazi la kimkakati hilo mahi wanguu 😂😂 nalivaa siku za dharura usinunee etii kaone na pua yake 😁😁Ukaja na vazi jipya hata kunipa hi umeshindwa?? Mi napingua ushosti na wewe.!! 😔😔😔
Kwanini usituambie wewe ulipigwa tukio gani hadi ukawa timu kataa ndoaUmeamua kupita na embe bichi na kuling'ata kwa makusudi mbele yangu.
Mimi sijapigwa tukio 😁Kwanini usituambie wewe ulipigwa tukio gani hadi ukawa timu kataa ndoa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tatizo unaendekeza njaa ila kuoga aaaaaah.Alinicall akihitaji niende mahali alipo, long time hatukua tume meet,nilifika right time,tukapga story za hapa na pale,tukalala.....
Alinitumia the whole night,and morning tukaagana nikaondoka....hakunipa hata nauli ya kurudi nilipotoka,
kumbuka usiku huo hakuninunulia hata maji ya kunywa YAANI nili lala na njaa,na asubuh niliondoka na njaa na sikupewa hata shilingi 500.
KATIKA SIKU NAZILAANI KATIKA MAISHA YABGU NI SIKU HII, MWAMBIE HUYU WA USICHANA WANGU NILIMPEA ZAWADI YA BIKIRA YANGU,NILIMPENDA AKIWA HANA KITU MPAKA AKAWA NA KITU.......
MIMI NA YEYE ULE ULIKUA MWISHO WETU, NINAMCHUKIA KUTOKA NDANI YA MOYO WANGU
🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tatizo unaendekeza njaa ila kuoga aaaaaah.
☺️Kama mimiMimi sijapigwa tukio 😁
🤣🤣mnge pangiana zamu,Kwa ratiba maalumuYani niwe mtu wa kufua tu peke yangu deile wakati kitandani tunalala wote!? Sio fair kabisa
Na hiyo kuzibadili kila siku sasa! Ukishaikuta kwenye tenga inabidi ufue tu.. Yeye hana habari
🤣🤣🤣sasa mkuu si ungemuelekeza tu ni jambo dogo sana hiloYule wa kwangu alikuwa hajui kumenya machungwa. Yani akimenya lazima ayachimbe chimbe kiasi kwamba huyali kwa raha. Kuna siku walikuja washkaji ghetto, baada ya msosi akatuandalia machungwa. Aisee aliyachimba balaa, nikajiuliza what if wangekuwa wageni wa heshima, si ataniaibisha huyu?
Nikapiga chini.
Mate yanakutoka halafu CHICHEMI 😂Umeamua kupita na embe bichi na kuling'ata kwa makusudi mbele yangu.