Mkuu utafanya hivyo kila siku, kwa hiyo kama tungefika kwenye hatua ya kuwa na familia tunge kuwa tuna ongozana na watoto kila jioni kwenda kwa mama ntilie??? Hapo ni moja katika nyingi. Kuna mmama alikuwa anakuja kila Jumapili kufanya usafi wa nyumba na kufua. Na yeye yupo anaangalia tu....π€£π€£π€£π€£ Ah kwa hiyo ukapiga chini kisa kupika...mwanawane sii mama ntilie wapo wengi tuu unakula huko alafu unakuja kula mbususu
Ah mwanawane nunua washing mashine bwana inakuwaje.Mkuu utafanya hivyo kila siku, kwa hiyo kama tungefika kwenye hatua ya kuwa na familia tunge kuwa tuna ongozana na watoto kila jioni kwenda kwa mama ntilie??? Hapo ni moja katika nyingi. Kuna mmama alikuwa anakuja kila Jumapili kufanya usafi wa nyumba na kufua. Na yeye yupo anaangalia tu....
U r soo evillllMngeuza vilivyobaki ili apate pesa ya kumtibu mgonjwa.! Au ungekopa.
Ukianza kuongelea mambo ya ki Mungu Na biblia anabadilisha madaKwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.
Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.
Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.
Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu
Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.
From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.
Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
As man at times unatamani hata mara moja moja upikiwe na baby, kufua hajawahi in two years time. Kwangu ilikuwa sawa but chakula it was a red flag...! It didn't sit well with me.Ah mwanawane nunua washing mashine bwana inakuwaje.
Mwanamke atafanya kazi hizo akishakuwa mchumba.
Msiwabe eshe mzigo hawa pisi kali kabla ya kuwa engage.
Haya kweli ndo majukumu muhumi ya kiserikali kayngay ww!?Hajui kupeleka moto mpaka mbolo ifike kunako KISOGO na maini na bandama.
Cc: Mzee wa kupambania dronedrake The Mongolian Savage adriz The Icebreaker Mufti kuku The Infinity The Stress Challengerr fundi bishoo
Aiseee huyo hatari, na hii ndio shida ya wanawake walio wengi yaani ukiwa naye kwenye mahusiano tayari anaona amepata pa kutulia matatizo yake mbaya zaidi haangalii hata mazingira anachoangalia ni shida zake kuishaKwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.
Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.
Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.
Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu
Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.
From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.
Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Hao wasanii wapo wengi wapo wanaojifanya hata pesa hawaombi huku wanashida balaa na pesa wanaomba kwa wengine akiingia tu kwenye ndoa hadi mifuko yote itakung'utwaAlikuwa anajidai msafi sana.. Kila mara akija #ghetto# lazima abadilishe mashuka... Anakaa hata 3 days ni kubadili shuka tu ila hafui... Yeye anakuta safi nimezifua yeye ni kutandika safi tu.
Akifua sana sana ni soksi zangu tu na leso... Nikaona hapa sio ishu.. Kama kufua hataki kwanini abadili shuka!?... Nikavua kiatu.. Nikasonga mbele kama injili..
Ilikua fumanizi kaliii!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alinipa taarifa kuwa anasafiri kumbe yupo ila hataki kuonana na mimi na ilikua ni kawaida yake badae ndio nilikuja jua. Kuna mtu akawa kamuona mjini akanipa taarifa asijue kuwa kamchomea na alivyo mwehu kipindi anadai kasafiri alianza kumfuatilia rafiki yangu asijue rafiki yangu anaelewa kila kitu, tukapanga siku akubali waonane na mimi nikawaibukia na mapenzi yakafa siku hiyo hiyo.
Uzi ufungwee!!Uwe mwanamke au mwanamme, ukiwa na pesa utaya-control mapenzi.
Vijana msijidanganye, maisha ya leo hakuna mapenzi bila pesa.
NdiyoHataki habari za Mungu?
Aiseeeeemapenzi ni ya watu walioshiba ππ
me ngoja nikatulize fuvu kwanza
Wee ulifanya vizuri kumbwaga huyo shetani....maana siku ungefulia ndani ya nyumba usingeishi kwa amani na angeenda kugegedwa huko njeKibaya zaidi alijiona ana haki kupewa, ndio maana alinuna na kuzila π