Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

🤣🤣🤣🤣 Ah kwa hiyo ukapiga chini kisa kupika...mwanawane sii mama ntilie wapo wengi tuu unakula huko alafu unakuja kula mbususu
Mkuu utafanya hivyo kila siku, kwa hiyo kama tungefika kwenye hatua ya kuwa na familia tunge kuwa tuna ongozana na watoto kila jioni kwenda kwa mama ntilie??? Hapo ni moja katika nyingi. Kuna mmama alikuwa anakuja kila Jumapili kufanya usafi wa nyumba na kufua. Na yeye yupo anaangalia tu....
 
Wa kwanza alikuwa single mama, aisee mbususu yake ilikuwa tamu na niseme ukweli katika wanawake wazuri niliwahi date huyu alikuwa pisi kweli kweli na nakawa najipa matumaini hapa mzabzab natulia naoa.
Sasa bwana, siku moja mrembo tumeenda zetu mall full raha nikasema leo bby ngoja nimtreat nikambia wee kafanye shoppig. Mie nikaenda zurula zangu maeno. Narudi nakuta bill laki nne na zote kwenye cosmetics. Aisee nililipa kinyonge sana....kweli tusake hela....anyways nikasema sio ishu sana.
Alipokuja kuniboa siku katika maomgezi ananiambia oh mzabzab inabidi umpende mtoto wangu kuliko mie....halloooo...hapo ndio nikasema pamoja na upisi kali wako na utamu wa mbususu hapa mie nduki.
 
Mkuu utafanya hivyo kila siku, kwa hiyo kama tungefika kwenye hatua ya kuwa na familia tunge kuwa tuna ongozana na watoto kila jioni kwenda kwa mama ntilie??? Hapo ni moja katika nyingi. Kuna mmama alikuwa anakuja kila Jumapili kufanya usafi wa nyumba na kufua. Na yeye yupo anaangalia tu....
Ah mwanawane nunua washing mashine bwana inakuwaje.
Mwanamke atafanya kazi hizo akishakuwa mchumba.
Msiwabe eshe mzigo hawa pisi kali kabla ya kuwa engage.
 
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.

Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.

Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.

Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu

Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.

From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.

Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Ukianza kuongelea mambo ya ki Mungu Na biblia anabadilisha mada
 
Ah mwanawane nunua washing mashine bwana inakuwaje.
Mwanamke atafanya kazi hizo akishakuwa mchumba.
Msiwabe eshe mzigo hawa pisi kali kabla ya kuwa engage.
As man at times unatamani hata mara moja moja upikiwe na baby, kufua hajawahi in two years time. Kwangu ilikuwa sawa but chakula it was a red flag...! It didn't sit well with me.
 
Huyo ana bipolar ulifanya vizuri kuachana nae,ungemuoa ungekuwa masikini.
Ukioa mwanamke mwenye bipolar lazima uwe masikini na ufe kwa stress.
Bipolar ni ugonjwa wa kulipuka hasira na kubwatuka yaani makelele hata maandiko yanapinga kuishi na mtu wa hivyo kwa usalama wa afya yako ya akili.
Mwanamke mwenye bipolar huwa na akili ndogo sana pia upenda sana ngono nje.
 
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.

Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.

Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.

Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu

Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.

From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.

Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Aiseee huyo hatari, na hii ndio shida ya wanawake walio wengi yaani ukiwa naye kwenye mahusiano tayari anaona amepata pa kutulia matatizo yake mbaya zaidi haangalii hata mazingira anachoangalia ni shida zake kuisha
 
Alikuwa anajidai msafi sana.. Kila mara akija #ghetto# lazima abadilishe mashuka... Anakaa hata 3 days ni kubadili shuka tu ila hafui... Yeye anakuta safi nimezifua yeye ni kutandika safi tu.

Akifua sana sana ni soksi zangu tu na leso... Nikaona hapa sio ishu.. Kama kufua hataki kwanini abadili shuka!?... Nikavua kiatu.. Nikasonga mbele kama injili..
Hao wasanii wapo wengi wapo wanaojifanya hata pesa hawaombi huku wanashida balaa na pesa wanaomba kwa wengine akiingia tu kwenye ndoa hadi mifuko yote itakung'utwa
 
Alinipa taarifa kuwa anasafiri kumbe yupo ila hataki kuonana na mimi na ilikua ni kawaida yake badae ndio nilikuja jua. Kuna mtu akawa kamuona mjini akanipa taarifa asijue kuwa kamchomea na alivyo mwehu kipindi anadai kasafiri alianza kumfuatilia rafiki yangu asijue rafiki yangu anaelewa kila kitu, tukapanga siku akubali waonane na mimi nikawaibukia na mapenzi yakafa siku hiyo hiyo.
Ilikua fumanizi kaliii!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom