Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

Ngoja waalimu waliokuwa wanakataa usaili waje 😂
Kuna Teacher anaitwa Konde Boy. Muite chap kwa haraka, hafu kwa jinsi mfumo wetu wa ajira hapa Tanzania hivyo mbovu hata ukifanya interview ni kazi bure tu, kuna watu ambao tayari walishapitishwa
 
Kuna Teacher anaitwa Konde Boy. Muite chap kwa haraka, hafu kwa jinsi mfumo wetu wa ajira hapa Tanzania hivyo mbovu hata ukifanya interview ni kazi bure tu, kuna watu ambao tayari walishapitishwa
Ticha konde mwnyw amefeli mtihani huu wa waalimu 😂
Kwenye mapambano ya ajira hutakiwi kuwa na mawazo kuwa hy ajira tayari kuna mtu ameandaliwa hasa hizi za utumishi mana hy itakutoa kwenye mood, n bora uende tuu kama una huo uwezo.
 
Aanze kwanza kujieleza yeye ilikuwa ni interview ya sekta ipi?
Huyu atakuwa mwalimu 😂 mana matokeo yao yana moto ndani yake 😂
Screenshot_20250127-191414.png

Screenshot_20250127-191605.png
 
Interviews nyingi nilishindwa kwa kutoweza kudanganya..

Kiuhalisia interviewers wengi wanapenda kuambiwa kitu wanachotaka kusikia maana ukiachana na mengine, maswali huwa yanajulikana

Tell me about yourself?...

Salary expectations, additional value etc
 
Usenge mwingi sana Mwanangu.
Kwenda usaili na kuwaza kuna watu wameshaandaliwa ni sawa na kwenda Vitani na panga wakati wenzako wana bunduki, binafsi ajira za utumishi naziamini kwa 100% labla huko private ndo kuna usengerema
 
Back
Top Bottom