Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

Kuna mbwa waliniknockout interview yangu ya mwisho katika maisha ya kutafuta kazi, mbwa wale, wanauza viwanja vya skwea mita hadi leo na saiti visit, hawanipati hata theluthi. Walinipa sana hasira.
Nimefiwa na mzee two months later waliniita, tena wakasema only experience in sales, mimi ndio kwanza nimebakisha 3 exams pale chuo. Nifulfill degree yangu. Jamaa wakaleta maswala hujamaliza chuo, sasa ukitaka kuendelea itakuaje. Nikasema nimefiwa napambana nisomeshe madogo mimi basi tena. Jamaa wakasema hawatoweza kuwa na mm. Fckn.
Hadi leo wanauza viwanja. Bosi haeleweki kazi mitandaoni tu. Nashukuru Mungu. Sikutaka tena interview.
 
Nilisha mfanyia Usaili kijana mwenzangu, huko nyuma nikiwa bosi fulani katika kampuni moja ya kigeni.

Kijana huyu alikuja na kaharufu ka , sijui konyagi ile ama kvant, anyways alikuwa akinuka mdomo na sikueza kuvumilia, nilimwambia arudi nafasi zingine zikijitokeza ila ile aliyokuwa akitaka ishajazwa. NIililongopa.

Lala msuri na mnono usiku, epuka pombe, piga mswaki asubuhi na Ule angalau Uji, uji hautoi harufu kamavile, ndio uende kufanyiwa Interview ukiwa fureshi.

Kuna mambo ingine ni vibe tu ya Interviyua na Intervyui. Yule Kijana alikuwa ananuka pombe, na ndicho kilichomukosesha mukazi ingawaje alionekana kama professoonal, vibe haikupanda.

Baadae nilikutana naye akiendesha BMW.🥵🙈
 
Mnakuwepo nyie wachache kwa ajili ya ushuhuda kuamini kwamba hakuna hayo mambo.
Sijasema hayapo na mimi nimeshayaona lakini utawezaje kujua hiyo kazi unayoomba ina mtu ama bado kama hujaenda.

Nachowaambia watu wafanye application tu. Mengine wamuachie Mungu
 
Nazani kutaja salary maana huwa sikai kirembo nakutajia pesa nayo expect sio zile eti mnatavyo ona nyie
 
Nitaelezea jinsi nilivyofanyiwa usaili wa kupata visa ya Afghanstan na kufanikiwa kutinga Kabul.
 
Back
Top Bottom