Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

Na pia pm yake ipo wazi 🔥🔥
Huyu apewe kazi bila usaili 😂
Nakupa u campaign manager kijana wangu 🤣🤣🤣
Mchana kanitoa nishai nilimwambia DM namba au account namba kuna ten limezagaa hapa.

Na alikuwa anatafuta mtu wa kumhonga.
 
Nakumbuka hizi interviews mbili tofauti
1. Yule dada aliniambia nitawasumbua kwasababu naonekana sitaweza kufanya kazi yoyote(hapo anaongelea urefu wa kucha zangu)
2. Nilienda nimevaa tshirt na jeans
 
Asubuhi Moja nilienda interview Finca Morogoro tumekaa mpaka mchana wakatusainisha Kila mtu ataje msosi anaokula na kinywaji chake maana hatukuruhusiwa kutoka nje ya ofisi mpaka interview iishe.
Cha ajabu tumekaa mpaka jioni hatujaletewa Chakula. Nikauelewa mchezo Kwamba hapa tumesaini lakini hela wanatia kibindoni.Ilivyofika zamu yangu nikaingia board room ni kutukana na kuondoka.Kuna watu wakatili sana dunia' hii.
 
Yaan kahela kamsosi nako watu wanatamaa nako,ila binadamu ni wabinafs sana

Afu hyo hela anaishia kumhonga demu wake
 
Back
Top Bottom