Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

Ngoja waalimu waliokuwa wanakataa usaili waje πŸ˜‚
Kuna Teacher anaitwa Konde Boy. Muite chap kwa haraka, hafu kwa jinsi mfumo wetu wa ajira hapa Tanzania hivyo mbovu hata ukifanya interview ni kazi bure tu, kuna watu ambao tayari walishapitishwa
 
Kuna Teacher anaitwa Konde Boy. Muite chap kwa haraka, hafu kwa jinsi mfumo wetu wa ajira hapa Tanzania hivyo mbovu hata ukifanya interview ni kazi bure tu, kuna watu ambao tayari walishapitishwa
Ticha konde mwnyw amefeli mtihani huu wa waalimu πŸ˜‚
Kwenye mapambano ya ajira hutakiwi kuwa na mawazo kuwa hy ajira tayari kuna mtu ameandaliwa hasa hizi za utumishi mana hy itakutoa kwenye mood, n bora uende tuu kama una huo uwezo.
 
Interviews nyingi nilishindwa kwa kutoweza kudanganya..

Kiuhalisia interviewers wengi wanapenda kuambiwa kitu wanachotaka kusikia maana ukiachana na mengine, maswali huwa yanajulikana

Tell me about yourself?...

Salary expectations, additional value etc
 
Usenge mwingi sana Mwanangu.
Kwenda usaili na kuwaza kuna watu wameshaandaliwa ni sawa na kwenda Vitani na panga wakati wenzako wana bunduki, binafsi ajira za utumishi naziamini kwa 100% labla huko private ndo kuna usengerema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…