Nilisha mfanyia Usaili kijana mwenzangu, huko nyuma nikiwa bosi fulani katika kampuni moja ya kigeni.
Kijana huyu alikuja na kaharufu ka , sijui konyagi ile ama kvant, anyways alikuwa akinuka mdomo na sikueza kuvumilia, nilimwambia arudi nafasi zingine zikijitokeza ila ile aliyokuwa akitaka ishajazwa. NIililongopa.
Lala msuri na mnono usiku, epuka pombe, piga mswaki asubuhi na Ule angalau Uji, uji hautoi harufu kamavile, ndio uende kufanyiwa Interview ukiwa fureshi.
Kuna mambo ingine ni vibe tu ya Interviyua na Intervyui. Yule Kijana alikuwa ananuka pombe, na ndicho kilichomukosesha mukazi ingawaje alionekana kama professoonal, vibe haikupanda.
Baadae nilikutana naye akiendesha BMW.π₯΅π