Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

Inasemekana wanawake waliokuwa wananyima namba za simu na waliokuwa wanatoa namba za uongo kwa wanaume skuizi hawapo..
 
Ukweli

Imani

Huruma

Upendo

Uhalisia

Siha

Heshima

Furaha

Kuridhika
 
Mimi naanza kwa kutaja Wanawake wasiopenda hela

Endelea nawewe kutaja
Mimi naona ni desturi ya kusaidiana majirani kama kuombana moto, kushare kiberiti,sabuni,leo watu ni mageti makari yaani mwanzo mpaka mwisho ni face ukihitaji moto hadi unajiuliza uanzie wapi leo watu wengi wabinafsi upendo umepungua
 
Back
Top Bottom