Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

kila mtu afuate dhamiri yake, kwani wewe ukienda mi napata nini
Wale masikini hawarudigi Mana wanaenda kutukanwa na kudharauliwa utu wao kisa Cha kutokuwa na Mali. Wanatumwa Kama watoto.kuna watt wanafukuzwa na wazazi toka nyumbani Mana kwa manyanyaso ya kutokua na Mali mpaka wanakuwa radhi kutoa kafara wazazi wao na wao wapate pesa kuheshimika
 
Wengine wanahamia Maeneo yenye wajinga wengi ili watumie ujinga wao kujitajirisha
Sema hakuna fursa kwenu na unakuta Kuna ukabila Sana. Ukifungua duka utauzia watu wa Koo yako tu na usikute familia yako. Mana wanaanza kutaka kujua asili yako ni wapi ili wakupe ushirikiano.mpaka basi kupanda anataka apande mjaluo mwenzake Mana akipanda la mkisii anaona atakuwa amemtajirisha kwani hawajulikani wapenda ukabila.
Si unataka umoja wa kikabila na huko hakuna ubaguzi wanakuja wananunua biashara zako.
Subiria watanzania wawe na sumu ya ukabila unadhani utafanya kazi maeneo ama mikoa ya watu. Watu watataka kujua huyu mmiliki wa sheli ni kabila gani kabla ya kumnyanyua.
Watanzania sie hatuna ukabila popote isipokuwa kabila moja hapa Tanzania huwezi kuishi kwao na ukawa na biashara ikakua ,Mana kitu Cha Kwanza aisee wewe ni kabila gani
 
Elimu ya Geography ilikupita kushoto,
Pia elimu ya History ya Kidato cha tatu Kama sio cha nne ilikupita kushoto.
Nimesoma pcm additional maths from olevo history ni primary. Unayoyaongelea unadhani ndiye pekee unaijua. Mji mzuri hata mtu kuja anapata Mali Sasa kwenu akija anabaguliwa hata akama anayo hiace wanaulizana ama wanaamabiana ni ukabila umewajaa kichwani wa kujiona kuwa ni Bora kuliko wengine ndio wanaostahili kushika nyadhifa Fulani.wengine wakishika wwao wanaumia. Egoism inawaua na hii ni sumu Kali Sana ikishakaa kichwani mwako mpaka bro wako tumbo moja utataka awe chini si unakumbuka lakini
 
Nahitaji laki 2 kama nauli ya kutumia kwenda na kurudi kijijini kwetu.

Natengeneza elfu 50 kwa mwezi.

Hakuna namna nitakua comfortable kurudi kijijini. Pesa ya nauli ni sahihi zaidi nikiwatumia kuliko nikaenda mimi.
 
Mkataa kwao ni mtumwa,

Hii ndio sababu hilo kabila limepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo, kurudi kwenu ni jambo zuri linalohamasisha umoja, upendo na mshikamano.

Kuna watu humu hawajui kabisa hata mila zao wala kujua asili zao
Twende Taratibu

Mfano makabila mengi ya mipakani yakitokea nchi zingine mfano wahaya walitokea Uganda , Wachaga walitokea Ethiopia kwa hiyo kwao wahaya Ni Uganda au Kagera? Na wachaga kwao ni Ethiopia au Kilimanjaro?

Wangoni walitokea Afrika ya kusini kwa hiyo kwao wapi Ruvuma au Afrika ya kusini?
 
Mkataa kwao ni mtumwa,

Hii ndio sababu hilo kabila limepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo, kurudi kwenu ni jambo zuri linalohamasisha umoja, upendo na mshikamano.

Kuna watu humu hawajui kabisa hata mila zao wala kujua asili zao
Unarudi kwenu but kusiwe na zile tabia hatarishi za kupindishana midomo!.
 
Nimesoma pcm additional maths from olevo history ni primary. Unayoyaongelea unadhani ndiye pekee unaijua. Mji mzuri hata mtu kuja anapata Mali Sasa kwenu akija anabaguliwa hata akama anayo hiace wanaulizana ama wanaamabiana ni ukabila umewajaa kichwani wa kujiona kuwa ni Bora kuliko wengine ndio wanaostahili kushika nyadhifa Fulani.wengine wakishika wwao wanaumia. Egoism inawaua na hii ni sumu Kali Sana ikishakaa kichwani mwako mpaka bro wako tumbo moja utataka awe chini si unakumbuka lakini

Watu wenye Egoism tangu lini wakafanikiwa na kuwa watu wenye mafanikio kuliko wengine??

Hata hivyo huwaga sinaga tabia ya kubishana na mtazamo na maoni ya mtu ikiwa ndivyo ameamua kuwa hivyo.

Hayo mengine unayoyasema ni hadithi za kufikirika tuu, na hadithi za kutunga.

Wewe Kama umesoma PCM huwezi elewa hata theluthi ya ninachokisema.

Mji wowote ambao watu wake wako na akili kupata Mali yakupasa utumie akili ya juu zaidi, uwe mjanja,
Sasa kutokana na ujinga wa wengi miji ya wenye akili inawashinda wanakalia kusema wanabaguliwa.

Hata wanaoenda Ulaya malalamiko yao yako kama yako, ni miji na Nchi complicated inayohitaji nidhamu na akili.

Hata hivyo wanapenda huko huishia kuwa vibarua, kinachowabeba wakija huku ni pesa ya Ulaya inathamani vinginevyo Ulaya haina tofauti na miji uliyoitaja au unayoiashiria
 
Ubaguzi ndio unaosemea kuwa ni Nini. Ivi unajua Kuna mtu hawezi nunua duka la mtu asiye wa kabila lake. Yaani watu wanabaguana mpaka clan level.
Mana sina mna umoja wa kikabila na ukoo wenu ivyo lazima umnyanyue wa kwenu.
Mfano mwanza watu wanaishi kwa raha Sana yaani mtu kuja kununua dukani hakuna haja ya kukujua.
Kuna mikoa ukiwepo hapa Tanzania Cha kwanza utasikia aisee wewe ni mtu wa wapi,na mie ni mtanzania kisa wameshindwa kujua lafudhi yako.
Mini kizuri Ina watu wa kabila zote ,watu wa mataifa yote na watu wa dini zote mkuu.
Utumie akili na huku wenyewe hata hawaishipo kikazi wanapakimbia Mana hawawezi fanyapo biashara ikiwa lazima mteja ajue kuwa huyu ni msukuma wa wapi ni wa NASA, shinyanga ama mwanza ndipo ampelekee ridhiki.mana anaumia kuona anamchangia mwingine mpaka mtu wa kabila ama Koo yake. Kama umekomaa huko ondoka njoo mikoa ya binadamu utatafuta na utapata ridhiki yako bila shida. Huku hakuna ubaguzi. Sifa nzuri ya mji iwe na watu mchanganyiko. Unadhani Kuna mkikuyu anamiliki duka lolote ama biashara yoyote Ile hapa county ya migori. Wajaluo ni full kilugha mpaka public transport wanajiona kwao wao ndio binadamu. Tembelea Kenya,Ethiopia,Nigeria uone ukabila.
Huko Nigeria Kuna hausa,Igbo,mpaka Biafra walitaka kujitenga.
Unajua kuwa afrika tulitawaliwa kisa Cha ukabila. Yaani unakuta mtemi wa kabila moja anajipendekeza kwa wajerumani ili ampige mwenzake. Mfano mzuri hapa Tanzania Kuna meli na Sina mmoja alijipendekeza kwa mkoloni akampiga ndugu yake.
Cheki nchi Kama China ,India,brazil na USA ni kubwa mno Ila hapa afrika mnataka kujigawanya kisa kiitikadi za kikabila na umoja wa kidini. Nenda zenj Kama wewe sio mwislamu ama sio wa huko utalijua jiji
 
Hayo ni mawazo yako tuu na kutokujiamini Kwa waliowengi.

Hivyo vitu vipo Maeneo yote Duniani lakini havipo Mijini.

Vitu hivyo vipo kijijini.

Mjini kuna mchanganyiko wa makabila Nani anakufa wa kuuliza kabila la mtu wakati anahitaji Huduma?

Mimi nimekaa Maeneo yote hayo hata Mwanza nimekaa, Mijini hakunaga hayo mambo Ila nenda nje ya mji au kijijini lazima uyakute mambo hayo.

Ndio maana nikasema Elimu ya Geography na Historia ilikupita kushoto.

Ni vizuri uombe kupewa elimu ili usiongee mambo Kama mtu ambaye hajasoma.
 
Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Sio kwenda makwao kama ukoo bali kama kabila, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika december.

Kuna watu kama wa Ruvuma yani unakuta wamefanikiwa vizuri kabisa lakini kuhusu kurudi makwao hio sahau kabisa aisee.

1. Vipapai (kurogana) - mtu umepeleka watoto vijijini huko matokeo yake wanazibwa macho, masikio, midomo, kuwa vichaa, n.k

2. kutokua na makazi ya kufikia yanayoendana na hadhi za mjini, hii husababishwa na watu kutojenga makwao.

3.Ushirikiano hafifu na chuki, mtu yupo radhi asaidie mtu wa kabila lengine ila chonde chonde hataki hata kusikia habari ya ndugu yake kufanikiwa.
Makabila mengine watu wanarudi kwao mwishoni na mwanzoni mwa mwaka, ila hawana mbwembwe za magazeti na kujitangaza kama nyie, kwa sababu wao kurudi kwao haina faida kwa watu wengine.
 
Mjini kuna mchanganyiko wa makabila Nani anakufa wa kuuliza kabila la mtu wakati anahitaji Huduma?
Unaongea mjini Nini na huku watu wakikaa muda mrefu wanazoeleka wanajulikana wenyeji wanaanza kuwakwepa kwenda kununua kwao bidhaa. Utampelekeaje hela kyasaka na huku ndugu yako Niko hapa bana.
Yaani ukipeleka hela kwa wakuja utakaliwa kikao. Iyo miji unayoongelea tafuta ratio ya wenyeji vs wakuja aka vyasaka utajionea.kuna mwaka 2007 nilipanda hiace moja ivi hapa mjini Moshi wazee wakawa wanalalamika kuwa huu mji wetu hauna wageni ni wenyeji tu.
Mfano watu wenye ukabila hawawezi kukupa eneo la biashara ama fremu mpaka uongee kikwao ndo mtaelewana.huu ni ukweli hata uipinge.
Nenda Arusha soko kuu pale wakina mama wauza samaki na dagaa ambao sio wazawa wa huo ukanda wanauzia wakuja wale wenyeji wanaenda kununua kwa wenyeji wao. Yaani wewe mfano Kama ni mkikuyu lazima utanunua kwa mkikuyu mWenzako Ila kwa mkalenjini utampita Kama vile mavi.
Nenda soko kuu pale Kama unabisha ,uzuri ninakaa huku huku ukitaka twende ufanye usahili ama ukae Kama mwezi uone.

Afu unabakia kujificha kuwa wanakosa mbinu ,mbinu gani ama ni kichaka Cha kujifichia.
Binafsi nafanya kazi huku Ila kuishi naishi mwanza ndo nimeamua kukaa kwa watanzania wenye utu.
Check iyo Kanda hata mpaka wanaogopana kuoana Mana wanajuana kuwa hawana utu ni ubaguzi kwenda mbele.

Yaani mnabaguana mpaka mkiwa pale Moshi mjini mfano utasikia mrombo analalamika kuwa huyu mmarangu akajaza wamarangu wenzake wote kwenye hii ofisi.

Kuna mama mkuu wa masista wa rc anaitwa Bureta anaomba hela za msaada kujenga shule anajenga kwao na huku anatumia mgongo wa dini. Na hajui misingi ya dini.

Kimbia huko utabaguliwa kinouma. Na Nina Imani hata biashara zako haufanyii huko imebakia kwenu jina tu.kwa mwaka Mara moja tu kulingishiana ulicho nacho.majumba yapo Moshi hakuna watu wakupanga.
Nyumba nzuri unamlipa mtu wa kuishimo,unampatia na shamba dogo la ndizi,la mifugo kidogo,na huku bado unamlipa. Jenga mwanza nyumba yako haitokutesa kishoia wewe huku wageni kibao wanakaa kwa amani Kama kwao.

Unajenga nyumba pambo tu Ila siku unazoishimo zinahesabika.
Umejenga ikusaidie Nini ama maonyesho kuwa na wewe unao uwezo.
Ila bana vyasaka mtaolewa sana
 
Unachoongea tofauti na ulichoandika. Wamepiga hatua gani ama ndio Hali ukiwa na milioni kumi unaenda kwa mama mwenye beseni kichwani na kujinadi kuwa una hela. Ni kwa Nini usiende kwa wenye hela wenzako ujinadi,ujitape kuwa unazo.
Yaani una bachelor unaenda kuuza sura kwa fomu Foo kuwa umesoma.jitafakari kwanza.
Kuna mtu amekataa kwao. Si yupo Tanzania ama unadhani kuwa yupo Burundi. Usikariri maisha.
Umoja huo unaongelea unaleta uhasmaa baina ya makabila ndani ya nchi. Saivi Rwanda hakuna mtutsi Wala mhutu Bali Kuna mnyarwanda.
Angalia Ethiopia wenye umoja wa kikabila unachoongelea.
Ukabila unaleta chuki na kutengana.unamtenga mwenzako kisa sio kabila lako.
Na ndo Mana huko Kenya Kama wewe ni mwalimu mkikuyu huwezi fundisha kwa wakalenjini unaona hiyo ni sawa.

Ivi unajua Kuna watu wakiwa mkoani kwao wanabaguana Sana.
Yaani ukiwa na ukabila Sana unaoita umoja huwezi enda nunua duka la mtu asiye kabila lako.
Yaani ni mambo ya tribalism kwenda mbele. Ukipewa ofisi Fulani unajaza kabila lako afu unajiita umoja na huku uliacha wenye qualifications za kutosha.
Naona umejawa na ukabila unataka kuleta chama Cha kikabila.
Kuna watu ni watanzania Ila Wana asili ya nchi zinazoabudu sana ukabila.
Ukabila na udini ni mbaya Sana Mana unamuona asiye kabila lako sio binadamu.

Ukianza kunibagua mie ni mbara wewe ni mzenji mpaka huko zenji mtabaguana tu ,yaani mtabaguana mpaka family level kataa kubali.
bro pumzika unywe maji kwanza. kwa kukusaidia mikoa yote imejigawa kikabila tayar.
 
Unaongea mjini Nini na huku watu wakikaa muda mrefu wanazoeleka wanajulikana wenyeji wanaanza kuwakwepa kwenda kununua kwao bidhaa. Utampelekeaje hela kyasaka na huku ndugu yako Niko hapa bana.
Yaani ukipeleka hela kwa wakuja utakaliwa kikao. Iyo miji unayoongelea tafuta ratio ya wenyeji vs wakuja aka vyasaka utajionea.kuna mwaka 2007 nilipanda hiace moja ivi hapa mjini Moshi wazee wakawa wanalalamika kuwa huu mji wetu hauna wageni ni wenyeji tu.
Mfano watu wenye ukabila hawawezi kukupa eneo la biashara ama fremu mpaka uongee kikwao ndo mtaelewana.huu ni ukweli hata uipinge.
Nenda Arusha soko kuu pale wakina mama wauza samaki na dagaa ambao sio wazawa wa huo ukanda wanauzia wakuja wale wenyeji wanaenda kununua kwa wenyeji wao. Yaani wewe mfano Kama ni mkikuyu lazima utanunua kwa mkikuyu mWenzako Ila kwa mkalenjini utampita Kama vile mavi.
Nenda soko kuu pale Kama unabisha ,uzuri ninakaa huku huku ukitaka twende ufanye usahili ama ukae Kama mwezi uone.

Afu unabakia kujificha kuwa wanakosa mbinu ,mbinu gani ama ni kichaka Cha kujifichia.
Binafsi nafanya kazi huku Ila kuishi naishi mwanza ndo nimeamua kukaa kwa watanzania wenye utu.
Check iyo Kanda hata mpaka wanaogopana kuoana Mana wanajuana kuwa hawana utu ni ubaguzi kwenda mbele.

Yaani mnabaguana mpaka mkiwa pale Moshi mjini mfano utasikia mrombo analalamika kuwa huyu mmarangu akajaza wamarangu wenzake wote kwenye hii ofisi.

Kuna mama mkuu wa masista wa rc anaitwa Bureta anaomba hela za msaada kujenga shule anajenga kwao na huku anatumia mgongo wa dini. Na hajui misingi ya dini.

Kimbia huko utabaguliwa kinouma. Na Nina Imani hata biashara zako haufanyii huko imebakia kwenu jina tu.kwa mwaka Mara moja tu kulingishiana ulicho nacho.majumba yapo Moshi hakuna watu wakupanga.
Nyumba nzuri unamlipa mtu wa kuishimo,unampatia na shamba dogo la ndizi,la mifugo kidogo,na huku bado unamlipa. Jenga mwanza nyumba yako haitokutesa kishoia wewe huku wageni kibao wanakaa kwa amani Kama kwao.

Unajenga nyumba pambo tu Ila siku unazoishimo zinahesabika.
Umejenga ikusaidie Nini ama maonyesho kuwa na wewe unao uwezo.
Ila bana vyasaka mtaolewa sana

Huenda nazungumza na mtu asiyejua maana ya Mjini.

Sawa kaa na mtazamo wako
 
Kurudi kufanyeje. Ama wakirudi lazima iwe matangazo.utaratibu wako sio lazima namie niu cope mkuu.
Love your life.
Halafu kumbuka ajali ni nyingi Sana road so why ujazane na familia kisa kwenda kuuza sura.
Huwezi muelimisha mtu Cha kufanya yeye mwenyewe anayo priority yake ya maisha.
Waambie na watumwa waliopelekwa jamaika warudi kwao afrika.
Tangiapo wengi wapo kwenye mikoa Yao na Ina fursa na raslimali tele.
Mfano mtu wa mwanza aende wapi yupo kwao kila kitu kipo,ardhi Ipo, mazingira mazuri ya biashara hakuna ubaguzi wa kikabila kuwa huwezi fanyapo biashara Kama wewe sio mzawa wa mwanza.
Wengine kwao Wana shida hawana ardhi ,hakuna biashara ya maana wanabaka kuhangaika kwa wengine.
Imagine kila mtu akae kwao afanyae biashara kwao utaweza ama utakufa.
Ukiona MTU anaogopa kurudi kwao kuna Mawili,uchawi Au kubaya
Sasa ukute hata hujajenga utakuwa na hamu ya kurudi? MTU KWAO
 
Kurudi kufanyeje. Ama wakirudi lazima iwe matangazo.utaratibu wako sio lazima namie niu cope mkuu.
Love your life.
Halafu kumbuka ajali ni nyingi Sana road so why ujazane na familia kisa kwenda kuuza sura.
Huwezi muelimisha mtu Cha kufanya yeye mwenyewe anayo priority yake ya maisha.
Waambie na watumwa waliopelekwa jamaika warudi kwao afrika.
Tangiapo wengi wapo kwenye mikoa Yao na Ina fursa na raslimali tele.
Mfano mtu wa mwanza aende wapi yupo kwao kila kitu kipo,ardhi Ipo, mazingira mazuri ya biashara hakuna ubaguzi wa kikabila kuwa huwezi fanyapo biashara Kama wewe sio mzawa wa mwanza.
Wengine kwao Wana shida hawana ardhi ,hakuna biashara ya maana wanabaka kuhangaika kwa wengine.
Imagine kila mtu akae kwao afanyae biashara kwao utaweza ama utakufa.
Huwezi kukaa sehemu moja ukafanikiwa zaidi lazma utembee,hata wazungu,wahindi,wachina wamejaa Africa je africa ni kuzuri kuliko China?
Hiyo mwanza yako unayotolea mfano mbona watu wake ni maskini? (Ni mkoa wa 4 kwa umaskini) Sasa Kama Wana kila kitu wanazidiwaje na kale ka mkoa kadogo ambako watu wake wamewekeza tz nzima?
 
Mkataa kwao ni mtumwa,

Hii ndio sababu hilo kabila limepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo, kurudi kwenu ni jambo zuri linalohamasisha umoja, upendo na mshikamano.

Kuna watu humu hawajui kabisa hata mila zao wala kujua asili zao
Hawa ndio wale ambao wanaweka heshima bar alafu kwao unakuta Hana hata msingi wa nyumba,ndio wanaotoa povu kisa watu fulani wanasafiri popular hasa December
 
Back
Top Bottom