Ubaguzi ndio unaosemea kuwa ni Nini. Ivi unajua Kuna mtu hawezi nunua duka la mtu asiye wa kabila lake. Yaani watu wanabaguana mpaka clan level.
Mana sina mna umoja wa kikabila na ukoo wenu ivyo lazima umnyanyue wa kwenu.
Mfano mwanza watu wanaishi kwa raha Sana yaani mtu kuja kununua dukani hakuna haja ya kukujua.
Kuna mikoa ukiwepo hapa Tanzania Cha kwanza utasikia aisee wewe ni mtu wa wapi,na mie ni mtanzania kisa wameshindwa kujua lafudhi yako.
Mini kizuri Ina watu wa kabila zote ,watu wa mataifa yote na watu wa dini zote mkuu.
Utumie akili na huku wenyewe hata hawaishipo kikazi wanapakimbia Mana hawawezi fanyapo biashara ikiwa lazima mteja ajue kuwa huyu ni msukuma wa wapi ni wa NASA, shinyanga ama mwanza ndipo ampelekee ridhiki.mana anaumia kuona anamchangia mwingine mpaka mtu wa kabila ama Koo yake. Kama umekomaa huko ondoka njoo mikoa ya binadamu utatafuta na utapata ridhiki yako bila shida. Huku hakuna ubaguzi. Sifa nzuri ya mji iwe na watu mchanganyiko. Unadhani Kuna mkikuyu anamiliki duka lolote ama biashara yoyote Ile hapa county ya migori. Wajaluo ni full kilugha mpaka public transport wanajiona kwao wao ndio binadamu. Tembelea Kenya,Ethiopia,Nigeria uone ukabila.
Huko Nigeria Kuna hausa,Igbo,mpaka Biafra walitaka kujitenga.
Unajua kuwa afrika tulitawaliwa kisa Cha ukabila. Yaani unakuta mtemi wa kabila moja anajipendekeza kwa wajerumani ili ampige mwenzake. Mfano mzuri hapa Tanzania Kuna meli na Sina mmoja alijipendekeza kwa mkoloni akampiga ndugu yake.
Cheki nchi Kama China ,India,brazil na USA ni kubwa mno Ila hapa afrika mnataka kujigawanya kisa kiitikadi za kikabila na umoja wa kidini. Nenda zenj Kama wewe sio mwislamu ama sio wa huko utalijua jiji