Umakondeni nako ukinunua gari ubaki nalo mjini tu, Basi haya Mambo Ni nchi nzimaHata huko umakondeni kuna mambo hayo. Nina machinga wenzangu huwa wananipa stori za huko. Sio poa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umakondeni nako ukinunua gari ubaki nalo mjini tu, Basi haya Mambo Ni nchi nzimaHata huko umakondeni kuna mambo hayo. Nina machinga wenzangu huwa wananipa stori za huko. Sio poa.
Watu wanaogopa hadi kujenga nyumba! Sio poa.Umakondeni nako ukinunua gari ubaki nalo mjini tu, Basi haya Mambo Ni nchi nzima
Umeandika pumbaKwa taarifa yako kwenu Ni sehemu unayopatia riziki ndio maana waarabu na wahindi matajiri wakubwa hawajengi kwao na hatuwakuti kwa utajiri
Wewe una kwenu ? Huna kwenu kule unaenda tu kusafirisha maiti kuzika na kwenda kuzikwa tu
Wachaga mfano kwao Kuna investments gani wameweka kule za maana zaidi ya kujenga nyumba za kufikia wakati wa misiba na krismasi Kuna nini Cha ziada kule? Pesa zotecwanazipatia nje ya Kilimanjaro , investments zote ziko nje ya Kilimanjaro ,maisha yao yote asilimia kubwa Ni nje ya Kilimanjaro ndiko Wana majumba ya uhakika ya kuishi full time .Hizo za Moshi Ni exclusive kwa misiba na sherehe tu Kama krismasi siku zilizobaki baada ya shughuli hizo wanalala panya na mende
Ndoa za mchanganyiko pia zinachangia watu kutorudi.kwao sababu kwao ni wapi watu wakishaoana ndoa za mchanganyoko wa makabila.Huwezi vuta upande mmojahili swala pia linachangiwa na uchumi na mazingira uchagani ni more central located, mazingira mazuri (hakuna ukame) wachaga wengi kiuchumi wako vizuri.
Kwa hiyo wachaga hawaoani na makabila mengine?? Sidhani kama ni kweli kama hilo nadhani wamasai ndio wanaongoza kuoana wao kwa waoNdoa za mchanganyiko pia zinachangia watu kutorudi.kwao sababu kwao ni wapi watu wakishaoana ndoa za mchanganyoko wa makabila.Huwezi vuta upande mmoja
Ni.makabila tu hasa yanayoendekeza ukabila na kuoana kikabila na.kiukoo ndio yenye tabia hizo za kurudi kwao vijijini. kutambika na mambo mengine ya kishirikina
Wachaga Wengi hawaoani na makabila mengine wana ukabila wa kufa mtu na hata wakioa makabila mengine wanaume huendekeza mfumo dume kuwa lazima Krismasi twende kwetu kilimanjaro migombani kwa wakwe hawaendi kwa mkewe kama kaoa kabila lingineKwa hiyo wachaga hawaoani na makabila mengine?? Sidhani kama ni kweli kama hilo nadhani wamasai ndio wanaongoza kuoana wao kwa wao