Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

Haya ni mawazo ya wale waliosahau kwao,kwenda nyumban kupanga mipango ya maendeleo na kutambika vina uhusiano? Nyie hamjengi vijijin kwenu ndio maana mnaogopa kwenda,hizo nyingine ni Petty excuses tu
 
Watu wanaenda sana kwao ikitokea ulazima wa kwenda huko mf misiba,sherehe au vikao vya familia.

Msitake kila kabila liwe na utaratibu kama wenu Mazee!11
 
Acha kujitetea sana hamasisha watu wako wapende kwao wasiishie kuweka heshima bar huku kijijin hawana nyumba,najua ugomvi huu chanzo ni makazi yenu mabovu,huwezi kuweka hekalu Kijiji alafu ukose kwenda
 
Asante kwa jibu mujarabu,nimempa mfano je wachina walivyo huku kwetu,je kwao ni kubaya kuliko kwetu? Au mwanza aliyoitolea mfano mbona ni MKOA maskini Licha ya kuwa na kila kitu?
 
MAKABILA MENGI WAMEWEKEZA KWAO KASORO WACHAGA TU
Kwahyo ukienda Moshi kule zile investment ni za wageni? Hujui usemalo labda unastaajabu unapowaona kila mahali nchi nzima,wale wanaenda maeneo yenye ujinga na kuyageuza kuwa fursa.
 
Hata wazungu kwao Hakuna lelemama,sisi kwetu Hakuna kkk(kula kulala kunywa bure) lazma utoe mchango Wako kiuchumi na sio uwe mzigo hiyo ndiyo perception yetu nyie kama mnalea uvivu uvivu shauri yenu
 
Hata wazungu kwao Hakuna lelemama ndio maana wana maendeleo,sisi kwetu Hakuna kkk(kula kulala kunywa bure) lazma utoe mchango Wako kiuchumi na sio uwe mzigo hiyo ndiyo perception yetu nyie kama mnalea uvivu uvivu shauri yenu
 
Hizo ni fikra zako mfu,kwahyo wachina walivyo huku kwetu,kule kwao ni kubaya?
 
Too emotional
 
Acha siasa jenga kwenu utatamani kurudi tu,chanzo chá haya yote ni kutokujenga kwenu.
 
Too emotional,Hakuna sehemu yoyote nchi hii utaenda kupata huduma uulizwe hivyo wewe ndio mbaguzi namba moja na una inferior complex aganist watu hao.
 
Huyu yeye ndio mbaguzi mkubwa wa hao watu anaowasema anajificha kwenye kichaka Cha umoja
 
Acha siasa jenga kwenu utatamani kurudi tu,chanzo chá haya yote ni kutokujenga kwenu.
Kwa taarifa yako kwenu Ni sehemu unayopatia riziki ndio maana waarabu na wahindi matajiri wakubwa hawajengi kwao na hatuwakuti kwa utajiri

Wewe una kwenu ? Huna kwenu kule unaenda tu kusafirisha maiti kuzika na kwenda kuzikwa tu


Wachaga mfano kwao Kuna investments gani wameweka kule za maana zaidi ya kujenga nyumba za kufikia wakati wa misiba na krismasi Kuna nini Cha ziada kule? Pesa zotecwanazipatia nje ya Kilimanjaro , investments zote ziko nje ya Kilimanjaro ,maisha yao yote asilimia kubwa Ni nje ya Kilimanjaro ndiko Wana majumba ya uhakika ya kuishi full time .Hizo za Moshi Ni exclusive kwa misiba na sherehe tu Kama krismasi siku zilizobaki baada ya shughuli hizo wanalala panya na mende
 
Nishakwambia wewe ndio unachuki na hao watu,Kama ni kubaya kwanini unafanya huko kazi? Siku zote mwenye akili lazma apigwe majungu tu, kuhusu kuoa au kuolewa hayo ni Mambo privacy ya watu,kwani huko mwanza unakosema wao wameoana wenyewe kwa wenyewe? Hawajaoa wageni? Mbona unakuwa na narrow Brian namna hii?
 
Hata tukijenga maghorofa vijijini yakakaa bure wewe inakuuma Nini ? Si tuna mihela bhana?
 
Kunywa maji baridi kwanza upunguze hasira jombaa halafu uje with open mind utamuelewa mleta uzi. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama ku connect na kwenu ulikotoka, yaani mkoani au kijijini kwenu kwenye asili ya ukoo wenu. Kila mtanzania hapa ana chimbuko lake au asili yao (kama hili pia hulijui please fungua TBC kuna ile channel yao ya SAFARI, au ITV wanayo pia ikionyesha makabila na asili zao). Huku mijini tumekimbilia tuu kwa ajili ya kutafuta kazi na maisha na mara nyingi mijini unakutana na watu mchanginyiko kutoka maeneo mbalimbali, ndiyo maana wengine wakiwa mijini wale wanaotoka mikoa au sehemu moja wanaanzisha umoja wao ili kusaidiana. Mimi hapa unavyoniona najiandaa kwenda Kijijini mwezi ujao na familia yote kwa sababu huko tunaenda kukutana wanaukoo wengi (kila mtu na familia yake) ambao tuliachana mwaka jana. Pia tunatumia muda huo kufanya dua/ibada kuwaombea/kuwarehemu waliotangulia mbele za haki na Kutembelea na kusafisha makaburi yao. Pia kuna kusaidiana kupeana michongo ya kazi, shule nzuri kwa watoto wetu, kukopeshana na kupeana taarifa za fedha (tuna kikoba chetu cha ukoo pia). Lakini pia kuna kutembeleana (kwenda kwa mjomba, shangazi, baba mdogo, mkubwa, class mates nk) kula na kunywa... Kiukweli ni kama vacation flani hivi maana hata pale Kijijini kunachangamka kinomaa [emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…