Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

hili swala pia linachangiwa na uchumi na mazingira uchagani ni more central located, mazingira mazuri (hakuna ukame) wachaga wengi kiuchumi wako vizuri.
 
Umeandika pumba
 
hili swala pia linachangiwa na uchumi na mazingira uchagani ni more central located, mazingira mazuri (hakuna ukame) wachaga wengi kiuchumi wako vizuri.
Ndoa za mchanganyiko pia zinachangia watu kutorudi.kwao sababu kwao ni wapi watu wakishaoana ndoa za mchanganyoko wa makabila.Huwezi vuta upande mmoja

Ni.makabila tu hasa yanayoendekeza ukabila na kuoana kikabila na.kiukoo ndio yenye tabia hizo za kurudi kwao vijijini. kutambika na mambo mengine ya kishirikina
 
Kwa hiyo wachaga hawaoani na makabila mengine?? Sidhani kama ni kweli kama hilo nadhani wamasai ndio wanaongoza kuoana wao kwa wao
 
Kwa hiyo wachaga hawaoani na makabila mengine?? Sidhani kama ni kweli kama hilo nadhani wamasai ndio wanaongoza kuoana wao kwa wao
Wachaga Wengi hawaoani na makabila mengine wana ukabila wa kufa mtu na hata wakioa makabila mengine wanaume huendekeza mfumo dume kuwa lazima Krismasi twende kwetu kilimanjaro migombani kwa wakwe hawaendi kwa mkewe kama kaoa kabila lingine

Kila kitu kama mwamba ngoma anavutia kwake tu uchagani hata aoe kabila lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…