Chai Maziwa
Member
- Jan 24, 2022
- 82
- 456
Habari Wanaume Wa JF
Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke.
Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza
Mfano: Mm katika harakati za kutongoza huwa nakatishwa motisha na wanawake weny kucha bandia( yale makucha marefu). Yaani namuona huyu sio msafi... hatandiki kitanda akiamka (obvious atakuw na kijeba kinatandika kila morning) hafui ata nguo za ndan,kaz ndgo ndgo home hafanyi, hajisafishi kule, nk
Wewe kitu gan hukuondolea stimu za kufukuzia demu?