DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tandika Sokoni au? Kitambo sana hilo chimbo limelea wana wengi humu JF ikifika wakati nitatajaNipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
Tandika Sokoni au? Kitambo sana hilo chimbob limelea wana wengi humu JF ikifika wakati nitataja
Pale sokoni watu wengi wameshakufa mule. Wengi wapyaSoweto
Hatari tupu vijana wanaisha plus wanawakePale sokoni watu wengi wameshakufa mule. Wengi wapya
Pale sokoni wote wanaishia mule Kwa sababu Bei rafiki Sana.Hatari tupu vijana wanaisha plus wanawake
Yes mkuu but cheap is expensivePale sokoni wote wanaishia mule Kwa sababu Bei rafiki Sana.
Sasa wafanyeje. Kitaa Bila laki 1 hujapata demu wa maanaYes mkuu but cheap is expensive
Kuwa tu muwazi wadada wa ID yako unaficha nini sasaNipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
Umejuaje mkuu sio kweliKuwa tu muwazi wadada wa ID yako unaficha nini sasa
ukishaona tako kama linata kudondoka unadhani utawaza hayo??Muulize mtu wa mungu yusuph aliukimbia mzigo wa potifa ili asiuone ukiuona tu kwisha.Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
Kuna nguvu ya msukumo nyuma ya pazia.Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe