Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?