Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.

Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.

Ni kipi Rais anakiweza?
Dah hapa maeneo ya Mbezi juu, Goba, n.k Maji ni Mgao bao hautabiriki.
 
Hamna kitu amefanya kwa kipindi chote alichokalia hicho kiti. Zaidi amezidi kufanya mambo kuwa magumu.
 
Hii unayotumia kubishana wakati wenzio maji hayatoki ni ujinga mtupu.
Kwangu maji yanatoka.Wajinga na wapumbavu ni nyie msioelewa nani mhusika na wapi mpeleke malalmikao yenu.

Ndio maana nawaambia Kwa kuwa hamna akili make hivyo hivyo bila maji Hadi Rais aje.
 
Sio kazi ya Rais kuwapatia maji.

Kwani Chuma hakuwapa maji?
Haitarajiwi Rais afanye kila kitu lakini kukizorota huduma yoyote, yeye ndiye wa kubeba lawama kwa sababu kwa mfumo huu wa Rais kuwa Mungumtu, ndiye anateua kila mtendaji mkuu wa Serikali kuanzia mkurugenzi wa Halmashauri mpaka Waziri.

Hivyo watendaji wake wakiboronga, lawama zote ni kwake kwa sababu ndiye aliyewaamini. Kama anataka asibebe hizo lawama, aache kuwa kizingiti cha kupatikana katiba mpya. Chini ya katiba mpya pendekezwa ya Warioba ilikuwa wateule wa Rais wapunguzwe sana. Watendaji wengi wa Serikali waajiriwe kwa taratibu za ajira kwa mkataba, akifeli anafukuzwa.
 
Kwangu maji yanatoka.Wajinga na wapumbavu ni nyie msioelewa nani mhusika na wapi mpeleke malalmikao yenu.

Ndio maana nawaambia Kwa kuwa hamna akili make hivyo hivyo bila maji Hadi Rais aje.
Tunamchagua Rais ili aje afanye Nini?

Jichunguze sana akili yako kaka sio matope. Unamaji kaa kimya na wenzio tuletewe maji. Zamani yalikuwa hayatoki kwa magumashi hivi.
 
Tunamchagua Rais ili aje afanye Nini?

Jichunguze sana akili yako kaka sio matope. Unamaji kaa kimya na wenzio tuletewe maji. Zamani yalikuwa hayatoki kwa magumashi hivi.
Aje awaletee maji ,Sasa endeleeni kumsubiria
 
Hivi hata na hilo tatizo mpaka rais? RC,mkuu wa wilaya, wakurugenzi, waziri husika? Wote hawa wanafanya nn?
Hawaja pelekewa taarifa
Umefanya vizuri kuwataja wanaotakiwa kuhakikisha hakuna tatizo la maji kwenye eneo husika. Katika hao uliowataja, ni yupi ambaye siye mteule wa Rais? Kama wote ni wateule wa Rais, basi aliyewaweka hao failures na kuwaona wanafaa kwa vigezo vyake, ndiye anayestahili kubeba lawama.
 
Haitarajiwi Rais afanye kila kitu lakini kukizorota huduma yoyote, yeye ndiye wa kubeba lawama kwa sababu kwa mfumo huu wa Rais kuwa Mungumtu, ndiye anateua kila mtendaji mkuu wa Serikali kuanzia mkurugenzi wa Halmashauri mpaka Waziri.

Hivyo watendaji wake wakiboronga, lawama zote ni kwake kwa sababu ndiye aliyewaamini. Kama anataka asibebe hizo lawama, aache kuwa kizingiti cha kupatikana katiba mpya. Chini ya katiba mpya pendekezwa ya Warioba ilikuwa wateule wa Rais wapunguzwe sana. Watendaji wengi wa Serikali waajiriwe kwa taratibu za ajira kwa mkataba, akifeli anafukuzwa.
Kama hawana akili na hawajui pa kwenda kulalamika kisa mtaa hauna maji Wacha wakae hivyo hivyo bila maji wamezidi upumbavu.

Rais atoke Dom aje awatatulie shida ya Maji huko mtaani kwao?
 
Kwa hiyo kama yapo unalalamika nini?
Wewe jaribu kutumia akili japo kidogo. Umekuwa mshabiki na mtu mpuuzi mpuuzi.

Miundombinu ya maji ipo tangu miaka ya 1990s lakini sasa kipindi hiki maji ndio hayatoki.
 
Back
Top Bottom