Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Nimekulia mitaa hiyo jirani na Bar maarufu ya Sumbis,maji hayajawai kukatika na yakikatika ujue kuna dharura kubwa!Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Kweli wewe mwenyeji, pale sumbi's ni karibu na mahali nilipo. Sasa leo hii watu wanategemea maji ya mvua kuishi.Nimekulia mitaa hiyo jirani na Bar maarufu ya Sumbis,maji hayajawai kukatika na yakikatika ujue kuna dharura kubwa!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sio kazi ya Rais kuwapatia maji.Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Kwamba Mbeya mjini bado wako kwenye ligasi ya chuma na sio supika?!Sio kazi ya Rais kuwapatia maji.
Kwani Chuma hakuwapa maji?
Nauliza Hadi wakose maji kwani Chuma hakuwapa?Kwamba Mbeya mjini bado wako kwenye ligasi ya chuma na sio supika?!
Lucas mwashambwa atalia sana [emoji16]
Wakati huo kiongozi wa mbeya alikuwa sugu kwa taarifa yakoNimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Siku hizi sikai mbeya, nimepita tu kidogo.Nyie watu wa Mbeya mmezoea kulalamika tu. Huwaga hakuna anaye waelewa mkiwa mnaongea.
Ni kazi ya nani?Sio kazi ya Rais kuwapatia maji.
Kwani Chuma hakuwapa maji?
Ya chumaNi kazi ya nani?
Mtanikumbuka ππππSio kazi ya Rais kuwapatia maji.
Kwani Chuma hakuwapa maji?
Ndio nawauliza Chuma hakuwapa maji Ili wamkumbuke?Mtanikumbuka ππππ
Merry Christmas π
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Wewe Umemkumbuka kwa niaba ya Wasafwa wote inatosha!Ndio nawauliza Chuma hakuwapa maji Ili wamkumbuke?
Huyu mama akalee wajukuu sasa maana hawezi kabisa.
Hamna kitu nchi hii ambacho kikifanyika hasifiwi rais. Yeye ndio abebe lawama za upuuzi unaoendelea. Akawawajibishe aliowateua.Hivi hata na hilo tatizo mpaka rais? RC,mkuu wa wilaya, wakurugenzi, waziri husika? Wote hawa wanafanya nn?
Hawaja pelekewa taarifa
Hakuna kitu anaweza zaidi ni safari za nje tuNimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?