Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh?

Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa.

Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
 
Uko wapi nikupatie, na zakesho
 
Back
Top Bottom