Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

Mmea wa kondeni mmea wa manabii na mitume, tena niunyonge mwenyewe polepole kwa ustadi

images (2).jpeg
 
1 hela
2 pesa
3 fedha
4 maokoto
5 kibunda
6 mpunga
7 mapene


Au unaweza badili jina tu lakin ni kitu kilekile
1 nauli
2 kodi
3 rambirambi
4 takrima
5 Ushuru
6 .......
 
Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh?

Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa.

Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
Mimi leo nikipata mbunye tu, nitaanza weekend mwepesiii kabisa
 
Back
Top Bottom