Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Nyama tamu sana hiyoNimetoka kula Sungura,kwani natamani chochote hapa..
Ngoja tuangalie kesho mkuu
Sungura ukimaanisha? NimesisimkaNimetoka kula Sungura,kwani natamani chochote hapa..
Ngoja tuangalie kesho mkuu
Hahahaaa, akae huko huko.Wananchi tukimpata Lissu wetu 😎
Uko wapi nikupatie, na zakeshoLeo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh?
Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa.
Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
Nyama ya Sungura cute...usisimke...twende taratibuSungura ukimaanisha? Nimesisimka
Best meat ever😋Nyama tamu sana hiyo
😆😁😄 ngoja nisome
Nyie watu wa Mbeya uwii...unawezaje?Nyama ya Sungura cute...usisimke...twende taratibu
Ni kuku cute... sisi kunguru akila sana samaki kwenye ungo Kuna siku twamla yeye cute🥴Nyie watu wa Mbeya uwii...unawezaje?