Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
πππ mimi nipate maji bariidi chupa ya 1.5Lt ila iletwe na mrembo mmoja bonge mweusi ambae shavu lake moja linafika nusu kilo, afu awe amevaa kanga tu bila kitu chochote ndani, am enjoying life.
Kisha ujitekenye ucheke mwenyeweBundle la kutosha niangalie pilau π
π π πKisha ujitekenye ucheke mwenyewe
ππWananchi tukimpata Lissu wetu π
Bro mguu namba ngapi, toa na adress.......wajuba wanunue wakupe mshangao (sapraizi)Ukiachana na vicoba Nina tamani raba Kali na crocs mpya
Dec niligawa vitu nianze upya Hadi Leo sijajipata yaani
Ee Mungu nisaidie birthday yangu next month niwe na furaha
Mimi leo nikipata mbunye tu, nitaanza weekend mwepesiii kabisaLeo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh?
Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa.
Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
Sungura wa kula sio kunywaSungura ukimaanisha? Nimesisimka