Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.

Vingine vinakuja..
 
Nili nunua iphone kwa mara ya kwanza.

Ile iphone ilikuwa duplicated yani iko safi kama iphone yenyewe na huwezi juaa.

Nikajichangaa mixer mizingaa nika peleka laki mbili kwa jamaa akaniwekea kila kitu kufika home. [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] camera ndo ili nishtua naingia sehemu nyingine hapo ndo nikajua hii sioo.

Nikarudi kwa jamaa akasema amesha tumia pesa hawezi rudishaa.

Nilijutaa kama miezii 4 sina raha na baada ya siku 5 likazima mazimaa halija waka labda siku likijisikia.

Tokea hiyoo day ni dukani moja kwa moja,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].

Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.

Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.

Kufika ghetto suruari fupiii .

Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu

Achaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].

Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.

Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!! Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom