Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

sasa niliyoyachange ndio makali.
hio siku nmenunua nilikua na deal fulani likafail nikajikuta niko around kkoo sioni cha kununua nikanunua nikayaona mazuri nmefika nayo home ukichanganya na stress niliona hapakuchi nikayabadilishe.. uzuri nilichukua number ya muuzaji nikamuuliza kwanza akakubali niyarudishe.
ila nachukia jinz/suruali vile ukishanunua utafute na top.. naona bora jumpsuit
[emoji16] Ungechukua mawili maximum..
Matatu lazima uchemke..yatakuwa yalikuwa mazuri ukadata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
suruali za kumwaga elfu kumi kumi kkoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na vile vishati ukifua tuu vnakua vdgoo suruali i apaukaa daah
Nishawanunu kkoo nguo za kumwaga tsheti form six. Kila napo vaa inachanika . Tena pensi moja nikinunua 15000 pale kkoo dukani kuja kuivaa ilichanika yote ilikuwa imeoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kujutia kwa vitu ninavyovinunua coz hua nipo makini sana pamoja na kujiridhisha kabla ya kuchukua maamuzi,

Hua sinunui vitu kwa kuiga au kufuata msukumo/mkumbo wa mtu mwingine,nanunua kitu ambacho nafsi yangu imekipenda na kuridhika.
 
Nili nunua iphone kwa mara ya kwanza.

Ile iphone ilikuwa duplicated yani iko safi kama iphone yenyewe na huwezi juaa.

Nikajichangaa mixer mizingaa nika peleka laki mbili kwa jamaa akaniwekea kila kitu kufika home. [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] camera ndo ili nishtua naingia sehemu nyingine hapo ndo nikajua hii sioo.

Nikarudi kwa jamaa akasema amesha tumia pesa hawezi rudishaa.

Nilijutaa kama miezii 4 sina raha na baada ya siku 5 likazima mazimaa halija waka labda siku likijisikia.

Tokea hiyoo day ni dukani moja kwa moja,

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu angelipa pesa yangu..uwii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawanunu kkoo nguo za kumwaga tsheti form six. Kila napo vaa inachanika . Tena pensi moja nikinunua 15000 pale kkoo dukani kuja kuivaa ilichanika yote ilikuwa imeoza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aahahahaha mtoa mada umenikumbusha wakati niko mtoto, wazazi wetu wailkuwa na tabia kila weekend tunakutana kwenye nyumba moja wapo aidha ya mjomba au shangazi au baba mdogo na watoto tukikutana ni michezo kwa kwenda mbele wakubwa wanaongea yao na chakula kikiiva tunakula jioni kila mtu kwao. Ilisaidia sana kujenga ukaribu na undugu tulionao leo, sasa kwenye michezo watoto mara sarakasi mara bembea mara kutereza kwenye majani mara kuvutana kidali poo mara paap nguo ya mtu imechanika... mama yetu mkubwa mmoja alikuwa mkali utasikia....

Huo mwili wako una visu hadi uchane nguo... sasa ndo wewe nawaza unanunua nguo ndogo au mwili wako unachana nguo tuu wenyewe aahahahahaha (no offense aiseeh nimewaza kwa sauti jumlisha kumbukumbu ya wakati niko mdogo).
 
Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.

Vingine vinakuja..
Mabaharia watakwambia mwanaume anatakiwa kunuka kama beberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].

Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.

Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.


Kufika ghetto suruari fupiii .

Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu

Achaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom