Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

Nilinunua sim kwa mtu, baada ya miezi minne nikafwatwa ofisini na polisi kitengo cha Cyber wakaniambia nikarepoti kituo cha polisi sitakishali, kufika uko naambiwa sim ninayo tumia ni ya wizi kwahiyo nipo chini ya ulinzi.... Asee

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Nilinunua nondo ya kupiga tizi home nlifanya kama 1week nkaiacha ngoma ilikuwa nzito 60kilos aisee yan ukibeba kama umeshiba lazma ujambe wakat unanyanyua. Hatar sana

Sent using Samsung s10
 
Mashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa

Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu

natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.

BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana

ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.

Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi

nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea

na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
 
Hahaha hapo kwa kwadi ya Mwendokasi nimecheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.

Vingine vinakuja..
Inaitwaje hiyo "perfume"?
 
Mashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa

Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu

natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.

BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana

ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.

Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi

nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea

na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
Hiyo wave uliweka nyingi au ulikaa nayo muda mrefu. Yawezekana pia uliweka kali ambayo sio ya nywele fupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].

Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.

Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.

Kufika ghetto suruari fupiii .

Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu

Achaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua mtori bunguruni Kwa mnyamani,amini usiamini nilikutana na nyama mbili tu,roho iliniuma hadi keaho

Sent using Jamii Forums mobile app
Heri yako wewe umekuta nyama mbili mkuu

Mimi nilinunua mtori kariakoo mtori bakuli 3000

ule mtori ulipokuja nikaanza kunywa wakati napiga vijiko

nitafute nyama nilichokutana nacho ni Utumbo wa taulo finyango mbili

na utumbo wa Bomba finyango 1,niliacha ule mtori pale pale maana silagi utumbo

halafu wao wamenichanganyia kabisa kwenye mtori yani nilichefukwa semabasi tu.
 
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].

Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.

Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.

Kufika ghetto suruari fupiii .

Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu

Achaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣
 
Kipindi flani nilipataga vi hela flani sasa nikajikuta pedeshee yaani natumia pesa tu bila kuangalia salio nikijua bado pesa ipo tu..
Sasa siku moja nikakutana na sabufa ya laki mbili kama kawaida nikazama ATM nikavuta mkwanja nikaingia dukani kununua..
Kama baada ya siku nne hivi nikarudi ATM kudroo hela ya kwenda kula kitimoto kama 20k.. mashine inaniambia sina salio la kutosha.. jaribu mara ya pili nikajua kuna kosa la kiufundi jibu linakuja lile lile.

Nikatoka kwa aibu nikazama simu banking nicheki salio.. nikakuta nina elfu 12 tu.. ikabidi nivute elf 10 ije mpesa...

Sasa nikiwa room na elf 10 yangu naiangalia tu ile sabufa ya laki 2 napata hasira sana..

Ili niendelee kuishi ilibidi niuze ile sabufa kwa bei ya hasara... mpaka leo nimejuta nikipata hela napanga budget kabisa ingawa inaniwia ngumu kufuata budget sababu sijazoea lakini najitahidi na inasaidia kidogo..
 
Back
Top Bottom