Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.
Vingine vinakuja..
Vingine vinakuja..