princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
[emoji16] Ungechukua mawili maximum..
Matatu lazima uchemke..yatakuwa yalikuwa mazuri ukadata
Hakuwa na papuchi?
Hili ulilo lisema inawezeka likawa limebeba watz zaid y mil 10Kuna Elimu Nilinunua Sijawahi kuitumia Hata kidogo
Nikanunua Elimu Nyingine ambayo inanisaidia (Naitumia)
Najuta kuinunua ile ya Mwanzo
Hela + Muda vimeenda Bure
Nishawanunu kkoo nguo za kumwaga tsheti form six. Kila napo vaa inachanika . Tena pensi moja nikinunua 15000 pale kkoo dukani kuja kuivaa ilichanika yote ilikuwa imeoza.suruali za kumwaga elfu kumi kumi kkoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na vile vishati ukifua tuu vnakua vdgoo suruali i apaukaa daah
Koma siyo kwetu ni sehemu nyingine (joke)Nilinunua chakula Nangurukuru, tumbo lilivuruga wiki nzima. Sasa hivi nikisafiri nanunua Chapati sita na maji makubwa.
Huyo mtu angelipa pesa yangu..uwiiNili nunua iphone kwa mara ya kwanza.
Ile iphone ilikuwa duplicated yani iko safi kama iphone yenyewe na huwezi juaa.
Nikajichangaa mixer mizingaa nika peleka laki mbili kwa jamaa akaniwekea kila kitu kufika home. [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] camera ndo ili nishtua naingia sehemu nyingine hapo ndo nikajua hii sioo.
Nikarudi kwa jamaa akasema amesha tumia pesa hawezi rudishaa.
Nilijutaa kama miezii 4 sina raha na baada ya siku 5 likazima mazimaa halija waka labda siku likijisikia.
Tokea hiyoo day ni dukani moja kwa moja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilinunuaga t shirt moja karume, baada ya kufua kola ilivutika mpk nikaukizwa eti siku hizi unatenda ya kunyonyesha wafungwa?suruali za kumwaga elfu kumi kumi kkoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na vile vishati ukifua tuu vnakua vdgoo suruali i apaukaa daah
Nishawanunu kkoo nguo za kumwaga tsheti form six. Kila napo vaa inachanika . Tena pensi moja nikinunua 15000 pale kkoo dukani kuja kuivaa ilichanika yote ilikuwa imeoza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaharia watakwambia mwanaume anatakiwa kunuka kama beberuNiliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.
Vingine vinakuja..
Na bado bodi ya mikopo inakudai hahahahahaKuna Elimu Nilinunua Sijawahi kuitumia Hata kidogo
Nikanunua Elimu Nyingine ambayo inanisaidia (Naitumia)
Najuta kuinunua ile ya Mwanzo
Hela + Muda vimeenda Bure
Kila nikienda huwa wananipa maneno ya mungu.
Pole sanaaKipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].
Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.
Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.
Kufika ghetto suruari fupiii .
Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu
Achaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app