Hahaha hapo kwa kwadi ya Mwendokasi nimechekaMashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa
Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu
natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.
BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana
ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.
Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi
nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea
na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
sina namna mkuu na huwa naumiaga sana ninavyoziona
Inaitwaje hiyo "perfume"?Niliwahi nunua “perfume” fulani hivi JD pharmacy pale JMo aseee laki na sitini kipindi hicho, kwa pale nilipenda harufu yake ila nilipofika home ikawa mbaya sana kwangu hata wife hakuipenda na mpaka leo ipo kwenye makorokocho. Nilijutia sana asee.
Vingine vinakuja..
Pole ndgNilinunua sim kwa mtu, baada ya miezi minne nikafwatwa ofisini na polisi wakaniambia nikarepoti kituo cha polisi sitakishali, kufika uko naambiwa sim nnayo tumia ni ya wizi kwaio nipo chini ya ulinzi.... Asee
Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
Hiyo wave uliweka nyingi au ulikaa nayo muda mrefu. Yawezekana pia uliweka kali ambayo sio ya nywele fupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa
Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu
natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.
BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana
ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.
Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi
nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea
na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].
Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.
Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.
Kufika ghetto suruari fupiii .
Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu
Achaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] poleNishawanunu kkoo nguo za kumwaga tsheti form six. Kila napo vaa inachanika . Tena pensi moja nikinunua 15000 pale kkoo dukani kuja kuivaa ilichanika yote ilikuwa imeoza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuu kwanini umesema hivyo Mbona Wengi
ilikua diploma Private hahah
dah! sirudii kwanza tenaHiyo wave uliweka nyingi au ulikaa nayo muda mrefu. Yawezekana pia uliweka kali ambayo sio ya nywele fupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heri yako wewe umekuta nyama mbili mkuuNilinunua mtori bunguruni Kwa mnyamani,amini usiamini nilikutana na nyama mbili tu,roho iliniuma hadi keaho
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].