Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa
Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu
natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.
BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana
ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.
Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi
nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea
na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
[emoji23][emoji23][emoji23]nishajua lengo lakoMKUU MI NAPITA TU KUOMBA HAKO KA PAFYUMU NINA IMANI NITAKAPENDA MKUU
[emoji38][emoji38][emoji38]ulipatikanaSupu ya jero pale k/koo aisee nyama ilikua mbichi balaaa alafu nilipomwambia yule mama alinijia juu kinoma kisha akanambia huo uchawi peleka huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].
Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.
Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.
Kufika ghetto suruari fupiii .
Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu
Achaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bure ghaliNili nunua iphone kwa mara ya kwanza.
Ile iphone ilikuwa duplicated yani iko safi kama iphone yenyewe na huwezi juaa.
Nikajichangaa mixer mizingaa nika peleka laki mbili kwa jamaa akaniwekea kila kitu kufika home. [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] camera ndo ili nishtua naingia sehemu nyingine hapo ndo nikajua hii sioo.
Nikarudi kwa jamaa akasema amesha tumia pesa hawezi rudishaa.
Nilijutaa kama miezii 4 sina raha na baada ya siku 5 likazima mazimaa halija waka labda siku likijisikia.
Tokea hiyoo day ni dukani moja kwa moja,
Sent using Jamii Forums mobile app
P ilikuwa kubwa sana ?Niliwahi kununa vya ndani vikawa vidogoo siunajua tena huwzi hata kugawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Melanny mama lao
unaweza kuwa wauswazi lakini ..ikawa umejifunza kustaarabika
Mbona me nna mpango wa kununua hiyo machine ya max malipoMashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa
Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu
natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.
BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana
ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.
Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi
nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea
na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
Mkuu mbona kama KY [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akufanyie massage hata mimi ninge goma (jkng)Nilinunua hii
View attachment 1347616
Raphael Salgado virgin olive oil ili wife anifanyie massage, ila kufika home wife kagoma hadi leo siyatamani hata kuyaona!
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
Ni Olive oil hiyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Mkuu mbona kama KY [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akufanyie massage hata mimi ninge goma (jkng)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka mpka nimesusu kwa pant😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mashine ya MAXMALIPO najuta mpaka kesho kutwa
Kadi ya MWENDOKASI hii ina salio la 47,000Tsh ambayo ipo tu
natamani kuitoa ila ndio hivyo siwezi yani hii hela naiangaliaga kwa machungu.
BUGGER niliagiza nile hiki kitu maana nimekua nikiskia tu kuwa ni kitamu sana
ila baada ya kutia mdomoni ile hela yangu iliniuma sana yani.
Kununua Wave ili niweke kichwani nywele zijinyongoroteshe niwe kama muhindi
nilipoweka Wave nywele zikalala kama paka mwenye ujauzito,asee nilivaa kofia mpk ile wave ikapotea
na lile kopo la wave nili litupilia mbali likiwa na wave yake vile vile.
Hakika mengine acha yapite tuu binadamu hapendi kutolewa kasorounaweza kuwa wauswazi lakini ..ikawa umejifunza kustaarabika