Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Aisee miye kuna snacks hizi wanaita Pringles yooooh zimenishinda kabisaaa Maisha yangu yote
Mara ya kwanza tu kujaribu kuzila ndio ikawa funga kazi, nimeshindwa kuzirudia hata kama nikiona wengine wanakula miye mzuka nazo sina kabisaa
Hebu tuambie na wewe, nini ulijaribu mara moja na ukasema acha kiendelee kukupita tu