Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

Umenyoosha mikono kwa yule single mom wako? 😀😀😀
Bila mapenzi unaishije duniani?
Haya mambo nakuachia ww mpare mwenzangu, mm bora nifanye mambo mengine tuu 🙌
 
Ugoro ule wa kuweka mdomoni ni kitu kilichonifanya natapika mda wote nikiona mtu anatumia
Baadaya kumeza mate wakati niliweka mdomoni
 
Back
Top Bottom