Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Aisee miye kuna snacks hizi wanaita Pringles yooooh zimenishinda kabisaaa Maisha yangu yote

Mara ya kwanza tu kujaribu kuzila ndio ikawa funga kazi, nimeshindwa kuzirudia hata kama nikiona wengine wanakula miye mzuka nazo sina kabisaa

Hebu tuambie na wewe, nini ulijaribu mara moja na ukasema acha kiendelee kukupita tu
 
Mm mara ya kwanza kusex πŸ™Œ kumbe bhana unatakiwa uwe unaingiza na kuchomoa kwa haraka haraka, sasa Mm nilijua naingiza tuu afu naiacha humo.

Ah sitaki tena mapenzi πŸ™Œ
 
hiyo kitu inaitwa kabichi,
almanusura nitapikage utumbo. hata nikiiona tu sokoni natoka nduki kwendra kutapikia mbali pasipojulikana aise πŸ’
 
Mm mara ya kwanza kusex πŸ™Œ kumbe bhana unatakiwa uwe unaingiza na kuchomoa kwa haraka haraka, sasa Mm nilijua naingiza tuu afu naiacha humo.

Ah sitaki tena mapenzi πŸ™Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kufunga ndoa na kusaini cheti kabisa ,huku masela wakiona wivu nimeopoa chombo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kufuga nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…