Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

Kunywa mchuzi wa pweza nilijaribu mara moja aisee kidogo nitapike sasa hv nikiangalia wengine wanavyokunywa najiuliza wanawezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…