Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

Subiri kidogo utajinyonga tukiongea, ntakupigiaaaaa hapa kuna kelele za matarumbeta ndo naenda kufunga ndoa.....

Huku ndoa huku simba utakufa rafiki 🀣🀣🀣🀣🀣
Hahahaha hapa napima kisukari kabla ya kujinyonga kimefika 2 mol/ L .yani kwenye maisha yangu hakuna utamu kabisa😭
 
Machawa mnatakiwa mpikiwe kabichi huko Lumumba muache kusifia sifia ujinga.
Chairman Taifa siku ya maandamano alikua ni kama kabichi tu aise dah!
makamanda wote walimsaliti chairman kwenye maandamano , sasa sijui walijiskia kichefu chefu au nini,

dah hatar sana aise πŸ’
 
Sijui mchuzi wa pweza, na pweza mwenyewe, Ngisi na wale dagaa kamba sitaki hata kujaribu, nimeshawakula kula Kambare, siku mbili tu nikitokwa na mashilingi karibia mwili mzima sijagusa tena
 
Pole.ulichanganya na maziwa fresh?
 
Honestly korosho first time nmekula zika nikifu kabsa na siwezi zila tena japo wengine wana zipenda .tuna tofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…