Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

Umenyoosha mikono kwa yule single mom wako? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Bila mapenzi unaishije duniani?
Haya mambo nakuachia ww mpare mwenzangu, mm bora nifanye mambo mengine tuu πŸ™Œ
 
Wanawake banaπŸ˜‚. Nimekuja mbio nikidhani kuna kitu ulifanya kikubwa sana mpaka kinatisha. Kumbe kula Pringles. Ngoja nisubiri wazee wa jela
Mkuu inawezekana wewe hujaelewa Pringles gani hizo.
 
Ugoro ule wa kuweka mdomoni ni kitu kilichonifanya natapika mda wote nikiona mtu anatumia
Baadaya kumeza mate wakati niliweka mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…