Ni kitu gani ulinunua kutokana na Presha ya ndugu na marafiki ila baadae ukajikuta hukitumii kabisa?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Mimi najuta kabisa kununua TV.

Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda mfupi najikuta nimeshika simu naingia Tiktok

Sikutakiwa kununua TV
 
1000070648.jpg

Hii siku sitaisahau, nikadhani nimenunua vest, kumbe nimeuziwa shati la mtoto
 
Mimi najuta kabisa kununua TV.

Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda mfupi najikuta nimeshika simu naingia Tiktok

Sikutakiwa kununua TV
Aaaah halafu nyuzi kama hizi zinabondwa TU
 
Mimi najuta kabisa kununua TV.

Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda mfupi najikuta nimeshika simu naingia Tiktok

Sikutakiwa kununua TV
Kusema ukweli ,wanawake wananua vitu vingi ambavyo hawavitumii.
 
Nilinunua Bonge la spika 32000 PMPO aisee nilipoteza fedha tu.
 
Kusema ukweli ,wanawake wananua vitu vingi ambavyo hawavitumii.
Mimi ni mfano mzuri nina vikorokoro vingi ndani hata sielewi nilinunua vya nini! Kuna mpaka vyombo nimeweka tu kama pambo, nguo nainunua inakaa mwaka siivai, nimenunua foundation niwe naitumia mwenyewe lakini mwaka unaisha ipo tu, nywele🙌🏾
 
Acha tu kwasisi tuliooa tunajionea wenyewe ,vitu vinanuliwa lakini havitumiki na hivyo ambavyo havitumiki bado vinanuliwa vingine hahaaa ,ananuna begi linatumika siku moja kisha linakaa ndani ,linanuliwa jingine linakaa tu ndani ,yananunuliwa mawigi lakini yanakaa ndani ,nadhani ni ile hali ya kujifariji nina hiki nina hiki nina hiki.

Unanunua nguo ya kwenda kwenye harusi inavaliwa siku moja kisha inawekwa kabatini ,hauivai tena maana hata ikija harusi nyingine nayo ina style yake hauwezi kutumia tena.
 
Back
Top Bottom