Mazingira kama hayo kuna mtu alinunua viatu tofauti cha mguu wa kulia hakifanani na cha mguu wa kushoto 😂😂😂mambo yakununua vitu ndani ya eneo kama Hilo alafu baada ya kupata mbili tatu yameumiza wengi,namaanisha wengi mno
Pale nnapokua nna shughuli af namwambia mr.sijui ntavaa nini huwa hanielewi.Hata bila kuoa hizi ni tabia za wanawake tulio wnegi sana! Mtu una kabati milango mitatu oakkini bado unanunua mabegi yanafika matatu! Muda mwingi unavaa viatu vya chini kwneda kibaruani lakini hiyo shoe rack itajta kujawmzwa viatu!
Na kila harusi unataka kuonekana tofauti na nguo rangi isijirudie hapo umeshona na nmkitambaa mita moja ni 150k unatakiwa kushona mita 3😂
Heri nyi wa kiume koti moja utalivaa hata miaka 6😅
Na nguo zimemwagika muda huo hazina hata pa kukaa🤣Pale nnapokua nna shughuli af namwambia mr.sijui ntavaa nini huwa hanielewi.