Nyie vitoto vya 2000 mnatia aibu sana.Mimi najuta kabisa kununua TV.
Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda mfupi najikuta nimeshika simu naingia Tiktok
Sikutakiwa kununua TV
😆😆😆😆Takataka hii hapa. Nilichezea pesa.
View attachment 3701784
Corporate women hao mkuuAcha tu kwasisi tuliooa tunajionea wenyewe ,vitu vinanuliwa lakini havitumiki na hivyo ambavyo havitumiki bado vinanuliwa vingine hahaaa ,ananuna begi linatumika siku moja kisha linakaa ndani ,linanuliwa jingine linakaa tu ndani ,yananunuliwa mawigi lakini yanakaa ndani ,nadhani ni ile hali ya kujifariji nina hiki nina hiki nina hiki.
Unanunua nguo ya kwenda kwenye harusi inavaliwa siku moja kisha inawekwa kabatini ,hauivai tena maana hata ikija harusi nyingine nayo ina style yake hauwezi kutumia tena.
Ndio bar za kwetu zilivyoBar za zamani ndio zilikuwa hivi?
Hivi vitu hua unavinunua kutokana na presha ya ndugu na marafiki?Vingi kwasasa,nikikipenda kitu na Hela ninayo nabeba,,hasa viatu,nguo,mikoba.
Nyie vitoto vya 2000 mnatia aibu sana.
Mwaka 1994 nimemiliki TV ya mjerumani Grundig.chogo
Ndani kwangu kulikua hakukauki watu.
Wanaangalia mpira,mara maigizo
Mara vichekesho¹
Hadi mke wangu wakati yupo pale anaigiza kidedea mi simjui.
Yaani watazamaji ndio wananijulisha mkeo huyo anaekti sinema😅,
Daah kweli bana,wife ni nyumbani, kazini,nyumbani hata hiyo tv hatuna muda kuangalia.
Mada imebadilishwa haikuwa hivyo jana!Hivi vitu hua unavinunua kutokana na presha ya ndugu na marafiki?
Au mimi ndio sijaielewa mada?
Sawa ila comment niliyo iquote,imetumwa dakika 15 au 20 zilizo pita.Mada imebadilishwa haikuwa hivyo jana!
Hata bila kuoa hizi ni tabia za wanawake tulio wnegi sana! Mtu una kabati milango mitatu oakkini bado unanunua mabegi yanafika matatu! Muda mwingi unavaa viatu vya chini kwneda kibaruani lakini hiyo shoe rack itajta kujawmzwa viatu!Acha tu kwasisi tuliooa tunajionea wenyewe ,vitu vinanuliwa lakini havitumiki na hivyo ambavyo havitumiki bado vinanuliwa vingine hahaaa ,ananuna begi linatumika siku moja kisha linakaa ndani ,linanuliwa jingine linakaa tu ndani ,yananunuliwa mawigi lakini yanakaa ndani ,nadhani ni ile hali ya kujifariji nina hiki nina hiki nina hiki.
Na kila harusi unataka kuonekana tofauti na nguo rangi isijirudie hapo umeshona na nmkitambaa mita moja ni 150k unatakiwa kushona mita 3😂Unanunua nguo ya kwenda kwenye harusi inavaliwa siku moja kisha inawekwa kabatini ,hauivai tena maana hata ikija harusi nyingine nayo ina style yake hauwezi kutumia tena.
Atakuw akafuata trend tu ya majibu yaliyopo😆Sawa ila comment niliyo iquote,imetumwa dakika 15 au 20 zilizo pita.
Si ndio😂haha! kwAkua ni pigo zao hawa madogo wa Sasa au sio!?
Ooh hapo sawa kabisa mkuuNdio bar za kwetu zilivyo
JF siku hizi kuna tatizo kubwa sana la uelewa,Naona wengi wanazungumzia kununua vitu wasivyohitaji kwa ridhaa zao wenyewe ambalo ni jambo la kawaida kwa wengi. Ila kichwa cha mada kinasema KUNUNUA KWA PRESSURE YA MARAFIKI,NDUGU.
Hahaha ni shida sana ,hatuwezi kulaumu ndiyo nature hiyo.Hata bila kuoa hizi ni tabia za wanawake tulio wnegi sana! Mtu una kabati milango mitatu oakkini bado unanunua mabegi yanafika matatu! Muda mwingi unavaa viatu vya chini kwneda kibaruani lakini hiyo shoe rack itajta kujawmzwa viatu!
Hatari sana ,wanawake re-rocking hawapendi ,akivaa kitu mara moja hataki kurudia tena mpaka muda upite sana.Na kila harusi unataka kuonekana tofauti na nguo rangi isijirudie hapo umeshona na nmkitambaa mita moja ni 150k unatakiwa kushona mita 3😂
Heri nyi wa kiume koti moja utalivaa hata miaka 6😅
Hata hawa Chokambaya crew na wenyewe wapo hivyo hivyo ,utofauti ni kwamba CuteRenee/PrettyRIta atanunua kutoka Coco Chanel /Prada /D&G etc ila Mwajuma ndala ndefu atanunua kwenye sagulasagula.Corporate women hao mkuu