elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 856
- 1,567
KUjenga nyumba ya vymba sita halafu nalala kwenye chumba kimoja roho inauma
😆😆😆😆🙌Hata hawa Chokambaya crew na wenyewe wapo hivyo hivyo ,utofauti ni kwamba CuteRenee/PrettyRIta atanunua kutoka Coco Chanel /Prada /D&G etc ila Mwajuma ndala ndefu atanunua kwenye sagulasagula.
😛 😛 😛 Nachojua kabati nina upande mmoja tu wangu nao umeingiliwa na nguo zenuHata bila kuoa hizi ni tabia za wanawake tulio wnegi sana! Mtu una kabati milango mitatu oakkini bado unanunua mabegi yanafika matatu! Muda mwingi unavaa viatu vya chini kwneda kibaruani lakini hiyo shoe rack itajta kujawmzwa viatu!
Na kila harusi unataka kuonekana tofauti na nguo rangi isijirudie hapo umeshona na nmkitambaa mita moja ni 150k unatakiwa kushona mita 3😂
Heri nyi wa kiume koti moja utalivaa hata miaka 6😅
KabisaaHahaha ni shida sana ,hatuwezi kulaumu ndiyo nature hiyo.
Hatari sana ,wanawake re-rocking hawapendi ,akivaa kitu mara moja hataki kurudia tena mpaka muda upite sana.
Wanaume hatuna shida kwenye hayo mambo.
Hebu nipe hicho kimoja kuliko kuhongaMimi nilikua pressured kununua ardhi.
Nikanunua Kigamboni na Kibaha. Sasa hivi najuta coz sina pesa ya kujenga wala kuzungushia uzio kubababake.
Ile pesa bora ningehonga
Upande? Ni chumba kimoja tu kwenye upande mmoja!😛 😛 😛 Nachojua kabati nina upande mmoja tu wangu nao umeingiliwa na nguo zenu
Nimefikiri sana na kuna mabinti makabati yao yamejaaa😛😛😛
Zile partition za kabati...zipo kadhaa pande zote katumia imebaki pande mojaaaUpande? Ni chumba kimoja tu kwenye upande mmoja!
Hahhaaha unapendwa bana! Mimi ungeambulia kichumba kimoja tuZile partition za kabati...zipo kadhaa pande zote katumia imebaki pande mojaaa
Kwa kweli 😛 😛 😛 😛 😛Hahhaaha unapendwa bana! Mimi ungeambulia kichumba kimoja tu
TV gani, tufanye biasharaMimi najuta kabisa kununua TV.
Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda mfupi najikuta nimeshika simu naingia Tiktok
Sikutakiwa kununua TV
Eh 😅Hebu nipe hicho kimoja kuliko kuhonga
niuzie bei ganTakataka hii hapa. Nilichezea pesa.
View attachment 3701784
Mbona yapo kibao mtumba, ili ngoja Nitulie hapaniuzie bei gan
Yule jirani aliekuomba umfundishe gym kafkia step Gani?UKiona nimenunua chochote, ujue kinaingia kwenye matumiz constant siku hiyo hiyo.
Mimi si mnunuaji kabisa wa vitu kama sina matumiz nacho.
SIjui hii nidham niliitoa wapi lakini sinunui kitu nisichohitaji kabisaaaa.
Ndio maana hata sittin room kwangu sina makochi kwasasa, ni gym equipments tu kwakua sina muda wa kukaa home, masaa machache nayorud toka majukum ni zoezi, kupika kulala.
Sina na sitarajii wageni kwangu. So everything availlable kwangu kinateseka haswa kila siku kinatumika
She is comming good. Japo imenibid nibadili utaratihu wa ratiba yangu binafsi. Maana akija yeye tu nalazimika kuvaa jeans ili fujo za abdalla zisiwe open sanaYule jirani aliekuomba umfundishe gym kafkia step Gani?