Sasa hv mm ni mjumbe wa vijana walioathilika na NYETO
Kuacha ni ngumu ila inawezekana kabisa bila changamoto yoyote kama utafanya maamuzi katili.
Nna miaka 2 Sasa na sijajaribu na kufanya hicho kitu.
Unaweza ukajaribu njia hizi zinaweza zikakusaidia.
1.kutafakari na kujua vichochezi vinavyokufanya ufanye masterbation. Ukishavijua hvy vitu jitahidi kuviepuka Kwa namna yeyote Ile. Kama ni kuangalia moves basi acha mara moja kama ni mitandao ya kijamii ipunguze ubakie na isio ruhusu hvy vitu, kama ni vitabu vifute kwenye simu au vitupe kama ni hard copy.
2.epuka kukaa peke yako muda wako mwingi kipindi upo ndani au chumbani kama unaishi mwenyewe hakikisha unatafuta jambo la kukushughulisha mbaka wakati wa kulala then ukifika home ujitupe kitandani.
3.fanya regular exercise/ mazoezi ni tiba ya mwili na akili pia.
4.jutia, na chukia kufanya hvy kama unavyochukia kupoteza mtu au kitu chako cha muhimu.
Jifunze na ujue matokeo yake (MADHARA yake)
Kama ujawahi Fanya mapenzi jaribu uone performance yako, ukiona umearibu sana jua tu sababu kuu ni hiyo masterbation ikiwa Bado ni mzima unapiga kazi vizuri, jitunze utakuja jutia baadae kama utaendelea kupiga masterbation.
Mwisho kabisa mtafute daktari wa saikolojia Kwa ushauri zaidi.
Mungu akusimamie katika Hilo