Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

Pombe itakupeleka wapi kijana? Kwanini usinywe juice fresh ya miwa au machungwa kwa ajili ya afya ....
Miwa na machungwa itakupeleka WAPI kijana 😳😳😳
1757257882454.png

Cc.
min -me
Monetary doctor
 
Kuacha ni ngumu ila inawezekana kabisa bila changamoto yoyote kama utafanya maamuzi katili.
Nna miaka 2 Sasa na sijajaribu na kufanya hicho kitu.
Unaweza ukajaribu njia hizi zinaweza zikakusaidia.
1.kutafakari na kujua vichochezi vinavyokufanya ufanye masterbation. Ukishavijua hvy vitu jitahidi kuviepuka Kwa namna yeyote Ile. Kama ni kuangalia moves basi acha mara moja kama ni mitandao ya kijamii ipunguze ubakie na isio ruhusu hvy vitu, kama ni vitabu vifute kwenye simu au vitupe kama ni hard copy.
2.epuka kukaa peke yako muda wako mwingi kipindi upo ndani au chumbani kama unaishi mwenyewe hakikisha unatafuta jambo la kukushughulisha mbaka wakati wa kulala then ukifika home ujitupe kitandani.
3.fanya regular exercise/ mazoezi ni tiba ya mwili na akili pia.
4.jutia, na chukia kufanya hvy kama unavyochukia kupoteza mtu au kitu chako cha muhimu.
Jifunze na ujue matokeo yake (MADHARA yake)
Kama ujawahi Fanya mapenzi jaribu uone performance yako, ukiona umearibu sana jua tu sababu kuu ni hiyo masterbation ikiwa Bado ni mzima unapiga kazi vizuri, jitunze utakuja jutia baadae kama utaendelea kupiga masterbation.
Mwisho kabisa mtafute daktari wa saikolojia Kwa ushauri zaidi.
Mungu akusimamie katika Hilo
Mwanaume yeyote akishajua ile raha ya sex / punyeto mpaka kufika kilele ni ngumu sana kuacha,

Kama huna mwanamke au hutaki kununua utanyetoka tu kwasababu korodani zikijaa mbegu upwiru haukwepeki
 
Katika vitu nimeweza kuvidhibiti ni kunywa pombe jumapili na sina utaratibu wa kunywa katikati ya wiki huna nakunywa ijumaa ili nipate mzuka wa kwenda club then jumamosi Napiga mpaka mida ya saa 10 jioni hapo ndo inakua imetoka mpaka wiki ijayo.enjoy mkuu
Kweriiiii 😊 😃 sisi tunakunywa responsible... tunakunywa kwa kiasii hatuwi walevii Wala watu wa ovyoo
 
Form two nilivutaga bangi nikachanganya na kubeli ...aisee nikawa natembea mbele ya wanafunzi design kama dunia inazunguka ,na nikawa natembea kama napanda ngazi🤣🤣🤣

Kuna muda bana ni wa kujaribia kila kitu ila ujanja wote huu tigo naiogopa kuna dada alitaka ku change over (kubadirisha shimo) nikashtuka 🤣🤣
Mashine ikalala kabisa..aliona aibu dada na ile hijabu yake daaah

Cc Ushimen
 
Hizi ndio komenti za maana mkuu...😝
Kwamtindo huu jeiefu haiwezi vamiwa mazeee....🤣
 
Kutosalimia Wazee wa Mila

Mwaka 47 Kuna kazi moja ilikuwa ya hela nyingi hivi kidogo nilienda kuifanya kwenye Kijiji fulani

Kosa nilipofanya ni kutoenda kuwasalimia Wazee wa mila kwenye kile Kijiji kabla sijaanza kufanya kazi yangu

Kazi ile ilikuwa ni ya Siku 5 tu on-field, lakini niliifanya Siku 9 tena baada ya kutonywa na wenyeji baada ya kazi kuonekana ingenishinda

Tangu wakati ule, nilijifunza kuwapa umuhimu hao Wazee iwapo nitakuwa na kazi kwenye maeneo yao 🙌
 
Kaka, sisi ni wazoefuu nimekunywa Toka saa SITA mchana nimetulia mpaka muda huu ndio nataka nili anzishe tenaa..
Bila shaka wewe ndo ile time yetu ya kusema naenda napiga bia mbili then kikao kinaendelea mpaka mida ya usiku mi bhna kiukweli ikifika ijumaa hua sipendi kabisa kuwa mvivu wa kunywa huwa nakunywa then nabadiri kiwanja mida ya saa 7 usiku hapo naenda club sasa ndo mpaka saa 11 hivi.
 
Kutosalimia Wazee wa Mila

Mwaka 47 Kuna kazi moja ilikuwa ya hela nyingi hivi kidogo nilienda kuifanya kwenye Kijiji fulani

Kosa nilipofanya ni kutoenda kuwasalimia Wazee wa mila kwenye kile Kijiji kabla sijaanza kufanya kazi yangu

Kazi ile ilikuwa ni ya Siku 5 tu on-field, lakini niliifanya Siku 9 tena baada ya kutonywa na wenyeji baada ya kazi kuonekana ingenishinda

Tangu wakati ule, nilijifunza kuwapa umuhimu hao Wazee iwapo nitakuwa na kazi kwenye maeneo yao 🙌
Hii nzuriii sanaa sanaa
 
Back
Top Bottom