mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
🤣🤣🤣Hizi ndio komenti za maana mkuu...😝
Kwamtindo huu jeiefu haiwezi vamiwa mazeee....🤣
Hadi sisi ambao tuko huku Msumbiji hawataki to browse?🤣
🤣🤣🤣Hizi ndio komenti za maana mkuu...😝
Kwamtindo huu jeiefu haiwezi vamiwa mazeee....🤣
Upo vizuri 😊 😁 sisi tunakunywa sikiliza music 🎵 🎶 kula then usingizii kulala kesho kaziniiiBila shaka wewe ndo ile time yetu ya kusema naenda napiga bia mbili then kikao kinaendelea mpaka mida ya usiku mi bhna kiukweli ikifika ijumaa hua sipendi kabisa kuwa mvivu wa kunywa huwa nakunywa then nabadiri kiwanja mida ya saa 7 usiku hapo naenda club sasa ndo mpaka saa 11 hivi.
Nilijaribu bangi maramoja sikurudia tena.WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU UKAAPA HUJI KURUDIA
Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha.
Experience yangu hii hapa
Kwa muda mrefu sana nilikuwa natamani nije kuvuta bangi, nilikuwa natamani sana kujua feeling na stimu zake, yani mtu anajisikiaje akivuta.
Msukumo huo niliupata nilivyokuwa nikiona watu hasa wasanii kwenye TV wanavyoisifia, mtaani niliona ikivutwa na hata ile harufu yake nilikuwa naipenda so nikasema "WHY NOT, LAZIMA NIJARIBU".
Siku ikafika uvumilivu ukanishinda, sikutaka kujifunza kwa mtu yeyote nikihofia wengine wanachanganya na mambo mengine, nikamfata mtu mzima kidogo wa mtaani tumezoeana, huwa anavuta lakini yupo smart, anavaa fresh, ana biashara na familia yake.
Basi nikampanga anifanyie mpango, msokoto ukawashwa, nikapiga pafu kama tano hivi )sikupata shida nimeshazoea kuvuta sigara), sikuona chochote pale nikarudi nyumbani, nilipofika nyumbani nimejilaza kwenye kitanda, moyo ukaanza kudunda kwa speed kali sana, nikapata shambulizi ya hofu (panic attack) na shinikizo la damu kupanda sana. kwenda kujiangalia kwenye kioo jicho limeiva kama nyanya, nilipaniki, nikajaribu kulala lakini wapi, ile hofu ikafanya hali iwe mbaya zaidi siwezi hata kuelezea.
Nikagundua kwamba naipenda bangi lakini bangi imenikataa, Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza na ya mwisho nikaona heri nibaki kwenye sigara na vibia
😁😊😁🤓Flying fish, bruto, savannah, redds 🤔
Kama hujawahi kukutana na changamoto zao, unaweza kuona kama masihara hiviHii nzuriii sanaa sanaa
Kampan Dingii nna hiyo kampan kwanza tunaanza bar tu ya mtaani hapo stories nyingi na makelele ku sogeza muda ya kwenda kuruka majokaUpo vizuri 😊 😁 sisi tunakunywa sikiliza music 🎵 🎶 kula then usingizii kulala kesho kaziniii
Upo vizuri sana kaka
Sisi tupo dar kaka 😊 karibu dar es salaam kakaKampan Dingii nna hiyo kampan kwanza tunaanza bar tu ya mtaani hapo stories nyingi na makelele ku sogeza muda ya kwenda kuruka majoka
Karibu Mbeya jombaa
Wazee ni nomaKama hujawahi kukutana na changamoto zao, unaweza kuona kama masihara hivi
Ila wakiamua kukukazia, unaweza kujikuta unatamani kukimbia Mradi wa watu 🙌
Labda walinimixia na unga. Sikuipenda kabisaaa.Ina shida gani? Imekukosea nini?
Me
Kabisa, bora ukutane na sisi tu Wazee wa mwaka 47 kuliko wale 😜Wazee ni noma
Fresh sana Jombaa tutafika na sisi watu wa MkoaniSisi tupo dar kaka 😊 karibu dar es salaam kaka
😀😀 vitu vitamu kabisa, ukiona unachelewa kuyumba ruksa kulamba tot 1 ya Hennesy poriFlying fish, bruto, savannah, redds, desperado 🤔
Ilikuwa tasteless ? Au pumzi hamna 😁😁Labda walinimixia na unga. Sikuipenda kabisaaa.
😣😣😣Kabisa, bora ukutane na sisi tu Wazee wa mwaka 47 kuliko wale 😜
Mkipiga picha na Mnangagwa kuweni watilivu mkuu, msije mkashea ikaleta taharuki..🙄🤣🤣🤣
Hadi sisi ambao tuko huku Msumbiji hawataki to browse?🤣
Pombe sinywi mkuu ninaelekea 47Sawa mkuu .
Piga POMBEEE